Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 800
Nilitengeneza mlango wa kioo, fremu ya aluminium, Size futi 11 kwa futi 9 na Kioo chake ni kinene. Ni mpyaaa na sijautumia.Sasa nimeamua kuuza baada ya kupata fremu ya biashara mahali pengine. Serious buyer nipigie au ni-text au ni-beep kwa namba 0764771255