Ukikusanya historia alipigania historia katika sehemu ya Tanzania na alipigana na wakoloni kabisa japo sio moja kwa moja ana sifa ya kukipigania kipande cha Tanzania,kumbuka alikuwa mtawala.Na wajerumani walikuwa watu wa taifa jingine tena la mbali sana.Sasa kihistoria amepigania taifa japo sio kwa tafsiri nyoofu.