AFRIKAN GUY
Member
- Jun 26, 2015
- 67
- 74
- Thread starter
- #21
kwahio tunakubaliana kwamba sio shujaa wa taifa la Tanzania.??Ni sawa hata taifa Tanzania halikuwepo pia sasa angepigania Tanzania ipi mkuu.?
kwahio tunakubaliana kwamba sio shujaa wa taifa la Tanzania.??Ni sawa hata taifa Tanzania halikuwepo pia sasa angepigania Tanzania ipi mkuu.?
Ukikusanya historia alipigania historia katika sehemu ya Tanzania na alipigana na wakoloni kabisa japo sio moja kwa moja ana sifa ya kukipigania kipande cha Tanzania,kumbuka alikuwa mtawala.Na wajerumani walikuwa watu wa taifa jingine tena la mbali sana.Sasa kihistoria amepigania taifa japo sio kwa tafsiri nyoofu.kwahio tunakubaliana kwamba sio shujaa wa taifa la Tanzania.??
nimekuelewa hapo mkuu.Ukikusanya historia alipigania historia katika sehemu ya Tanzania na alipigana na wakoloni kabisa japo sio moja kwa moja ana sifa ya kukipigania kipande cha Tanzania,kumbuka alikuwa mtawala.Na wajerumani walikuwa watu wa taifa jingine tena la mbali sana.Sasa kihistoria amepigania taifa japo sio kwa tafsiri nyoofu.