Kuna taarifa imetolewa kuwa amefariki hapo juu...!!Jamani mimi namtafuta mwalimu Busanji kuna mtu anayejua yuko shule gani au contact zake? Alikuwa mwalimu wangu wa miaka ya nyuma na hesabu yake aliyonifundisha hadi leo bado inapanda na ninawafundisha wanangu.
Tangu imekuwa college sijafika, sijui panafananaje kwa sasa!Mazee nilirudi tena 2011-2014 pamerekebishwa sana asee
Mbona uko kwenye huu uzi kama huusiki?Mimi nilikuwa kwenye vita ya kagera siijui hiyo shule
Acha uongo mi nilienda na one paleHahaaaa...mkwawa ni shule ya waliokuwa wamefeli ..we shule inachukua wanafunzi 3000
Anajidanganya achana nae. Haelewi anachokiandika...Acha uongo mi nilienda na one pale
Chuwa alifariki siku nyingi sana mkuuVipi Chuwa yeye bado yupo???
Umenikumbusha mbali sana aisee!!!! Napamiss sana Mkwawa Complex School. Napamiss sana Makanyagio. Nalimiss sana bweni langu la Lumumba East ambapo pia nilikuwa kiranja wa bweni chini ya Mwalimu Mgimwa ambaye alikuwa Mwalimu mlezi wa bweni.Wasalam,
Wakati tukimalizia Mwaka 2017, Naomba wale ambao tulisoma Mkwawa high School tusalimiane humu na kama inawezekana tuambiane kwa sasa tupo Mkoa Gani?
Mimi nipo Dodoma.
Karibuni Mliopitia Mkwawa High school -aka Casino Complex.
Mama uswege uliamuacha na maandazi yake, na aikambe, na nelkonMmekumbuka maandazi ya makanyagio au ulanzi na mapera ya Mtwivila?Mmwambia Ridhiwani Kikwete anaitwa akadeki cube yake Shabani East. Masatu anamwita
Masatu alikuwa mnoko, ila shabani east lilikuwa bweni la wavuta bangi sana, ni kama makongoro eastMmekumbuka maandazi ya makanyagio au ulanzi na mapera ya Mtwivila?Mmwambia Ridhiwani Kikwete anaitwa akadeki cube yake Shabani East. Masatu anamwita