The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Watu wa language nafkir mnamrem Masatu mzee wa hasira za faru, Shaban ist hukoo! kihava wa history mzee wa shalo! geog mshamrem Mirambo almaarufu Fantamagorian! NELKON nackia kasepeshwa na SENSA ya Taifa dah! ndo lyf wanaa! pamojaa! gawa nyuuz!
Kuna jamaa mmoja alikuwa anabeba physics kichwani then anakuja kutema class, tabu ni kuelezea ila alikuwa na notes tamu sana. Paper zake ni balaa , jina lake limenitoka kidogo ila somebody like NGOI
sasa hao ni wazee wengi washafariki hawajui pc, si tunaulizia kina ngui, mtui, mgohamwende, nelkon, chuwa,mama uswege etc
Head Master - Mgohamwenda
Second Master - Ngui
Nidhamu - Mgimwa
Kweli mkwawa kulikuwa na Vichwa vya aina yake!!!
mbona mnamsahau kaaya? second master around 1993-6
alikuwa anatukana wanafunzi live kwenye parade. aliwahi kusema nyie darasa ......... mtajamba cheche!!!!!! baada ya wanafunzi kukataa kukata kuni za kupikia
Burudani kubwa ilikuwa Mkwa vs Haliendi (Highland) katika soccer.