Mkuu kwa hesabu za haraka haraka, 'wengi humu' kipindi hicho walikuwa wanacheza kombolela!
Mbona unakusahau Makanyagio? Au wewe ulikuwa unapapenda sana Gangilonga? Maana taa za pale zilikuwa hazichukui siku zinapasuliwa.!! Hahahaha! (kama zile kuta za Gangilonga zingekuwa zinaongea? Mhmmm!!) lakini ni Bonge ya shule.Wadau wa JF waliopita Mkwawa high school nawapa hi.
Mbona unakusahau Makanyagio? Au wewe ulikuwa unapapenda sana Gangilonga? Maana taa za pale zilikuwa hazichukui siku zinapasuliwa.!! Hahahaha! (kama zile kuta za Gangilonga zingekuwa zinaongea? Mhmmm!!) lakini ni Bonge ya shule.
Wapo wa Mkwawa High 1974-75?
Mhh umekula chumvi, 1974-75 ndio ulikuwa High School, hongera!!