Katika yale makampuni yaliyotajwa katika sakata la kuchota EPA wamiliki wao ni nani anafanya biashara na Watanzania? Na hapa nina maana wamiliki wanaojulikana siyo by extension or by proxy.
tupeni list ya wamiliki wa kampuni zilizochota pesa BOT na kisha tuambiwe wanamiliki biashara gani ilitujue cha kufanya.
labda wazo la vodacom limekuja kwa sababu ni kampuni ambayo inajuuliakana na karibu kila mtu tanzania.
nani anajua celtel ni ya nani hapa?
atupe data kabla ya kuhamia huko, tigo na zantel pia. labda hizi kampuni mpya ndio kimbilio letu.
Manake navyojua mimi ya celtel yako jikoni, yanakuja, labda wana JF tuchoke na kushiba fisadi mmoja.
Sijaweza kusoma thread nzima. Lakini mkuu Lunyungu, if you wanna make a point, create an email, foward it around. The ball will roll. People will decide whether you are right or wrong (I am not sure if you are right or wrong), and they will push the message. Sio kila mtu anakuja JF, trust me!!
Kama kuna mtu kashashauri hivyo poa.
Mkuu Nzo
Hapa tuko vitani .Nimesha fanya moja la hapa nawe lete la pili .Mie sina watu wengi ninao sema nao .Nina jumla ya mails 8 sina zaidi na hawa nimesha wapa .Sasa wewe unatoa mchango upi baada ya wazo hili ?
Kitu kama e-mail ni simple sana. Mi siwezi nikakurupuka tu kuandika e-mail ambayo I dont believe in 100%. Lakini, we andika mfano hapa wa point zako. Anza ku-i-forward. Hata nisogezee PM, itasambazwa. Au bandika point zako hapa kwenye thread, omba watu waforward (trust me, it will be forwarded). Lakini sio kwamba nakubaliana nawe necessarily ninapoisogeza, attitude yangu ni kwamba, acha watu wawe intelligent vya kutosha wapime wenyewe pointi zako......hivyo hivyo nikipata e-mail kutoka Vodacom wana rebutt mawazo yako, basi pia niko free ku-i-forward bila kutoa mawazo yangu.
Feel free kufungua account online, free, tuma txt nyingi kwa namba tofauti za voda anonymously, with to the point message. Watu wataforward. DONT RELY ON JF ONLY.
Kuhusu mchango wangu kuhusu yanayotokea Tanzania, mawazo yangu ni radical zaidi na wengi hawafikirii hivyo. Kwahiyo mimi niko poa tu kutulia na kuangalia mchezo na kuendelea na maisha yangu (niko kwenye minority na mawazo yangu).
Mkuu Nzo
Nakubaliana nawe kabisa umesoma late mada imesha shida moto .Ila messages zimekuwea composed na ziko hapa hapa ni mtu kuchagua ipi anataka na kusukuma .Kwenye hii thread Paparazi amelata mambo mazuri sana na kuna mtanzania mwingine pia kafanya kweli kwa aina messages .So pitia uone na tusaidie .Nimeona message zingine zimeanza kusambaa via mails .Kuna mahala nimeona copy leo ofisi sasa mambo ya Ijumaa na bongo hii nikauchuna kwanza .
Lunyungu,
Vipi umeme wa IPTL na Richmond tususie pia kuwakomoa "mafisadi'
Richmond mkataba wao unaisha December mwaka huu,tuna uwezo wa kususia,kwanza sasa hivi maji ni mengi sana kwenye mabwawa tangu January.
Pili kuhusu IPTL serikali ina mpango wa kuinunua ili iwe mali ya umma nayo vilevile tuna uwezo wa kususia maana Tanesco wana machine ya kuzalisha umeme yenye kiwango sawa na IPTL Megawatt 100 kwasasa
Heeh wananunua mali za mafisadi nakuzidi kuwa neemesha! makubwa haya basi wanunue na Vodacom
tayari niko tigo
Kweli JAMIIFORUMS WASAHAULIFU...HII TOPIC NI OLD NEWS...jus search vodacom hapa hapa jf muone wenyewe...this is how business is done in Africa by Multinationals..using political connections is the norm...if you guys where in rostams shoes u wud have done the same..humu ndani kumejaa wachovu wasio na biashara tanzania there i said it...yal are forgeting how the game is plaid!!..its good to be patriotic lakini wengi wenu hamjatoa arguement za maana as to why we shud boycott..siasa nyiiingi na accusations kibao...comparisons to kenya are irrelevant and there is no proof of that supermarket boycott lunyungu was referring to..kenya hadi leo hawajui local shareholders wa safaricom its most profitable company...vodacom wamewawekea waaazi do u guys have proof on how the shares were obtained hau mnalopoka tuu hapa??tuwe makini jamani...this is one of the reasons im slowly loosing touch with this forum..concrete threads zinapungua sana..
Lunyungu,
Vipi umeme wa IPTL na Richmond tususie pia kuwakomoa "mafisadi'