Mkuu wa wilaya ya Tunduru atafuta mwarobaini wa kumaliza migogoro ya wafugaji na wakulima

kanywaino

Senior Member
Sep 10, 2010
171
19
MKUU WA WILAYA TUNDURU ATAFUTA MWAROBAINI WA KUMALIZA MGOGORO KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA
IMG-20160724-WA0009.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akizungumza na Wafugaji wote wa Wilaya ya Tunduru katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.

IMG-20160724-WA0005.jpg

Wafugaji wa Wilaya ya Tunduru wakimsikiza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Juma Zuberi Homera katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.

IMG-20160724-WA0015.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akiwa katika picha ya pamoja na Wafugaji wote wa Wilaya ya Tunduru Mbele ya Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera alitisha kikao na Wafugaji wa Wilaya nzima ya Tunduru tarehe 22/7/2016.

Katika kikao hicho Mhe. Juma Homera alipata nafasi ya kuwatambua Wafugaji wote wa Wilaya ya Tunduru pamoja na idadi ya mifugo yao, Mfano Ng'ombe, Kondo, Mbuzi n.k.

Mkuu wa Wilaya aliambatana na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Ndugu Abdallah Hussein Mussa, Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.

Akitoa taarifa ya hali ya mifugo katika kikao cha wafugàji na uongozi wa wilaya na halmashauri ya tunduru, katibu wa chama cha wafugaji kanda ya kusini bw. Cornel Kapinga alisema mpaka sasa wilayani tunduru kuna idadi ya wafugaji 93 wenye ngombe 40,520,wale wanaotambulikana na chama cha wafugaji kanda ya kusini na katika idara ya uvuvi na mifugo.

Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Ndugu Abdallah Hussein Mussa, amesema wilayani tunduru kuna makundi mawili ya wafugaji ikiwa ni jamii ya wasukuma na wamangati.

Aidha amewataka watoe idadi kamili ya mifugo yao ikiwa ni ngombe,mbuzi na kondoo ili kurahisah serikali ya wilaya ya tunduru kuweza kuwatengea eneo lakutosha kwa malisho ya mifugo yao kwa kadiri ya idadi ya umiliki wa kila mfugaji.

Akizungumza na Wafugaji Mhe. Juma Homera aliwaomba Wafugaji wote watumie busara sana kwani kwenye mgogoro wao Wakulima ndio wahanga zaidi. Alisema, "Watanzania wote sisi ni wamoja na hatupaswi kubaguana kimakundi, kikabila, kidini, au kivyovyote vile".

Mkuu wa Wilaya alisisitiza dhamira yake ya kutaka kutatua tatizo la Wakulima na Wafugaji, alisisitiza "Twendeni pamoja kwa ukweli na uwazi, kila mtu ataje idadi ya mifugo yake, atakae danganya atakuwa anajikomoa mwenyewe maana ukisema una Ng'ombe 400 kumbe una Ng'ombe 600, sisi tutakupa eneo la Ng'ombe 400 hivyo baada ya muda mfupi utaanza kupata tabu na kumbuka Ng'ombe wanaendelea kuzaliana".

Alisisitiza sana, swala la Elimu kwa watoto wa wafugaji, aliwahasa wabadili mfumo wa maisha yao, Mtoto akifikisha miaka 7 ni lazima aende shule, atakae kaidi agizo hili atachukuliwa hatua za kisheria na serikali. Na Wafugaji waanze kujenga nyumba za kisasa na kuchangia miradi ya jamii.

Aidha, Mhe Juma Zuberi Homera alikubaliana na Wakulima mambo matatu ambazo zilipitishwa kama Azimio la Kikao.

Mosi: Kila Mfugaji anaeishi ndani ya Wilaya ya Tunduru ahakikishe amekabidhi picha zake kwa Afisa Mifugo wa Wilaya ndani ya siku 20 kwanzia siku ya Ijumaa tarehe 22/07/2016, Picha hizo ziambatane na Majina(Passport size 4).

Pili; Kamati ya Wataalamu wa Wilaya kwa kushirikiana na Serikali ya Mkoa iwashirikishe Wafugaji wakati wanatafuta eneo ambayo wafugaji watapewa kwa ajili ya kuweka mifugo yao ili Wafugaji waridhike na eneo hilo.

Tatu; Eneo waliopo waendele kuishi na huko watakapo pangiwa itakuwa sehemu ya kupeleka Mifugo yao tu, ili familia za Wafugaji waweze kuendelea kupata Huduma za kijamii.

Mkuu wa Wilaya Mhe. Juma Zuberi Homera aliwaeleza Wafugaji kwamba kikao kitakachofuata itakuwa yakuwaelekeza ni eneo lipi limepatikana, na msafara wa kwenda eneo husika linatakiwa kwanzia tarehe gani hadi lini.​
 
Sina hakika wanatunduru kama taarifa hii imewafikia kama lengo la Muandishi lilivyo au tunaleta taarifa hii ili Bwana Mkubwa na wasaidizi wake waone Utendaji wa Mkuu Mpya wa Wilaya,maaana bwana Mkubwa na wasaidizi wake wana account humu.

Ushauri kwa Mleta hoja.
Pamoja na uzuri wa ripoti ya Utendaji kazi wa mkuu mpya wa Wilaya ya Tunduru kuletwa humu nashauri nakala ya taarifa pia iweze kubandikwa katika mbao za taarifa za halmashauri,katani na ofisi za serikali za vijijini.

Pia nakala zipelekwe kwa mkuu wake wa Mkoa na Viongozi na wananchi wa Mkoani Ruvuma.

Sisi wanatunduru wachache tunaoishi hapa mjini na sehemu Mbalimbali tunaona Mwanzo mzuri wa Mkuu mpya wa Wilaya.
 
Hiyo ndiyo tunduru mpya?yaaani kupiga picha na wafugaji ndiyo tunduru mpya?
 
Sina hakika wanatunduru kama taarifa hii imewafikia kama lengo la Muandishi lilivyo au tunaleta taarifa hii ili Bwana Mkubwa na wasaidizi wake waone Utendaji wa Mkuu Mpya wa Wilaya,maaana bwana Mkubwa na wasaidizi wake wana account humu.

Ushauri kwa Mleta hoja.
Pamoja na uzuri wa ripoti ya Utendaji kazi wa mkuu mpya wa Wilaya ya Tunduru kuletwa humu nashauri nakala ya taarifa pia iweze kubandikwa katika mbao za taarifa za halmashauri,katani na ofisi za serikali za vijijini.

Pia nakala zipelekwe kwa mkuu wake wa Mkoa na Viongozi na wananchi wa Mkoani Ruvuma.

Sisi wanatunduru wachache tunaoishi hapa mjini na sehemu Mbalimbali tunaona Mwanzo mzuri wa Mkuu mpya wa Wilaya.
Huu ni mwendelezo wa wateuliwa kutaka kumfurahisha mteuzi wao tu
 
Ha! ha! huyu ndio Mh.Juma Homera makamo kiranja Mkuu sekondari Kigo 2004-2005. Natumaini atakuwa ameacha tabia zake za kipindi kile. Kila la kheri mwanzomzuri
 
Maisha yako speed sana dah juma homera enzi za misufin primary school to ruvuma day daah.... kwel ccm ni ile ile oooh ni ileee
 
Back
Top Bottom