Mkuu Wa Wilaya ya Mufindi azuia zoezi la Uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA Jimbo la Mafinga kinyume cha Utaratibu na Sheria

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
43,707
60,760
Chadema ilishakufa mnahangaika bure tu nyie vibaraka wa Mbowe
Umekufa wewe chokwo
tapatalk_1541832657263.jpeg
 
Tuombe mungu hizi taarifa zisifike America
I'm the US secretary of State, I've already been updated of the political situation in Tanzania, and we're deeply concerned over such repression, a few days to come Tanzania will be experiencing economic sanctions.
 
Mkuu Wa wilaya anasema CHADEMA ilipaswa kutoa Taarifa kwake juu ya kikao hicho cha Ndani cha uchaguzi wa CHADEMA ni Msingi

Tunamwambia Mkuu Wa wilaya Huo utaratibu wake haupo Kwa Mjibu wa sheria Na Tuwahakikishie Kikao Kitafanyika Kama kilivyopangwa Na Viongozi Wote wa Kimataifa wameshafika Wakiongozwa na Naibu katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalim viongozi wa Mkoa kwa ajili ya kikao,Wabunge,Madiwani

Mpaka Muda Huu Police Wamezingila Na magari Pamoja na Silaa za Moto Ukumbi Wa tuliotaka kufanyia Kikao cha NDANI

Wakati Mkuu wa wilaya anazui Kikao chetu CHAMA CHA MAPINDUZI KINAENDELEA KIKAO CHAKE UKUMBI WA COTC MAFINGA
Anafikiri kwa kutumia matako huyo eria kamishina. Manina zake.
 
Mkuu Wa wilaya anasema CHADEMA ilipaswa kutoa Taarifa kwake juu ya kikao hicho cha Ndani cha uchaguzi wa CHADEMA ni Msingi

Tunamwambia Mkuu Wa wilaya Huo utaratibu wake haupo Kwa Mjibu wa sheria Na Tuwahakikishie Kikao Kitafanyika Kama kilivyopangwa Na Viongozi Wote wa Kimataifa wameshafika Wakiongozwa na Naibu katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalim viongozi wa Mkoa kwa ajili ya kikao,Wabunge,Madiwani

Mpaka Muda Huu Police Wamezingila Na magari Pamoja na Silaa za Moto Ukumbi Wa tuliotaka kufanyia Kikao cha NDANI

Wakati Mkuu wa wilaya anazui Kikao chetu CHAMA CHA MAPINDUZI KINAENDELEA KIKAO CHAKE UKUMBI WA COTC MAFINGA
Peleka haya malalamiko kwa wazungu, hapa JF haitasaidia sana.
 
Back
Top Bottom