Mkuu wa wilaya ya Iramba kumbe ni mwanafunzi Finland mpaka 2014!

Star Tv Habari

Mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda, Yahya kumbe ni denti wa Finland na anasoma Majuu Finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014 sasa sijui anaongoza wilaya kwa rimoti au.

Wakuu amekili haitamuathiri katika utendaji wake wa kazi na atakuwa anatenga muda kufanya kazi za wilaya

Ukistajabu ya Musa .........

Mkuu,

IRamba....amekiRi.
 
@ Dosama; Kaka una uhakika na chanzo chako????
Hata kama ni Tv kwa hapa wamechemsha sana tu ........ilikuwa ni short course alienda na kasharudi yupo hapo kwa semina elekezi ni course maalum kwa wanaofanya PhD kutoka taasisi za elimu ya juu

Kwa kuweka kumbukumbu sawa

Kwa wanaotaka CV yake kwa ufupi; B.A Sociology, M.A DS zote UDSM and now a registered PhD Student at SUA

kama kweli hiyo ni cv ya jamaa rais amemdharirisha huyu jamaa, lakini kwa hii serikali ya ccm labda wanampa uzoefu.
 
ilamba=iramba....

Hata akiwa finland mpaka 2030 cheo cha ukuu wa wilaya kina tija gani kwa taifa?
 
Inasemekana alikuwa huko Finland kwa wiki mbili na alisharudi Dar, hii ni kwa mujibu wa source za kueleweka.
 
nimeshndwa kumuelewa rais kwamba kachoka au ni nini?kitendo cha kuchagua mwanafunzi aliyepo masomoni bdo kuwa mkuu wa wilaya tena akiwa bado nje ya nchi,je viongoz wameisha humu ndani au?
 
hujaeleweka?mkuu wa wilaya gani na jina lake ni nani?hivi kwa nini hamuwezi kuandika habari zikakamilika mnarukia rukia tu mambo as if mnakula karanga za moto....tulia kwenye keyboard andika vitu kwa utulivu na vyenye mantiki
 
mkuu wa wilaya hana mchango wowote kwenye kazi za maendeleo ya wananchi. Hata kama tusipokuwa na wakuu wa wilaya nchi mzima ni sawa tu. Kuna mkurugenzi wa halmashauri, mwenyekiti na madiwani. Hawa pamoja na watumishi wengi wa halmashauri ndiyo watu muhimu kwa maendeleo ya wananchi.
Mkuu for your information and for those who think like you, District Commissioner is leading all governmental activities in the district. All issues which the citizen expect from the government like health services, security etc are obtained at a district level. Appointments of people from no where with no experience on governmental operations, on these post and the practical vacancies can not remove their importance. Actually it is the reason why we cannot develop in agriculture and with the resources available in this country. The DCs during colonial error championed introduction of cash crops in their area something people in this country think came from heaven. Honestly to be an appointee in this government in these posts is a shame
 
hujaeleweka?mkuu wa wilaya gani na jina lake ni nani?hivi kwa nini hamuwezi kuandika habari zikakamilika mnarukia rukia tu mambo as if mnakula karanga za moto....tulia kwenye keyboard andika vitu kwa utulivu na vyenye mantiki

vijana wa siku hizi ndivo walivo ndugu yangu kigogo, enzi zetu ukiandika au kutoa habari iliyo nusu nusu unachukuliwa hatua za kinidhamu kwa kosa la kutokuwa makini.
kwani kuna ubaya kwa rais kuchagua mtu aliyeko masomoni....???
tatizo lako nini hasa wewe kuhusu uteuzi huo wa rais...??
je, kama wewe finus ungekuwa masomoni harafu mheshimiwa rais akakuona na kuhisi kwamba utaweza kumsaidia kazi hivo akachukua uamuzi wa kukuteua ungelaumu kijingajinga namna hiiiiii.........???
"""wewe si ndiyo ungefanya sherehe hata hapo shuleni unaposomea""
wewe finus acha uvivu wa kufikiri, lete issues humu siyo maswala ya kitoto kitoto/kike kike.
 
Kuna mambo can only happen in tanzania.....only in tanzania....twiga kupanda ndege ni tanzania pekee....mkuu wa wilaya analie nje ya nchi mpaka 2014 anapatikana tanzania....mbunge wa viti maalum anaeishi marekan anapatikana tanzania pekee,.....
 
toba! tanzania inawenyewe na wenyewe ndio hao hao na utawasikia hao hao mpaka tukome!
 
vijana wa siku hizi ndivo walivo ndugu yangu kigogo, enzi zetu ukiandika au kutoa habari iliyo nusu nusu unachukuliwa hatua za kinidhamu kwa kosa la kutokuwa makini.
kwani kuna ubaya kwa rais kuchagua mtu aliyeko masomoni....???
tatizo lako nini hasa wewe kuhusu uteuzi huo wa rais...??
je, kama wewe finus ungekuwa masomoni harafu mheshimiwa rais akakuona na kuhisi kwamba utaweza kumsaidia kazi hivo akachukua uamuzi wa kukuteua ungelaumu kijingajinga namna hiiiiii.........???
"""wewe si ndiyo ungefanya sherehe hata hapo shuleni unaposomea""
wewe finus acha uvivu wa kufikiri, lete issues humu siyo maswala ya kitoto kitoto/kike kike.
Hemed Maronda ameipenda hiyo!
 
Sioni tatizo kwa mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, waziri , diwani kujiendeleza kielimu after all sasa hivi kuna elimu long distance na elimu za darasani. Pia mtu anaweza kufanya elimu ya mchanganyiko ambapo atakaa darasani siku chache halafu anapewa utirio anaenda kusoma.

Hebua tuache hizi chuki binafsi!
 
Star Tv Habari

Mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda, Yahya kumbe ni denti wa Finland na anasoma Majuu Finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014 sasa sijui anaongoza wilaya kwa rimoti au.

Wakuu amekili haitamuathiri katika utendaji wake wa kazi na atakuwa anatenga muda kufanya kazi za wilaya

Ukistajabu ya Musa .........

Bila shaka mamlaka ya uteuzi haikuwa inalifahamu hili, na kama hivi ndivyo; Naogopa kusema mimi ni mtanzania....
 
Mkuu sio anasoma kwa njia ya matandao kweli.Manake saa nyingine tuwe wakweli sio kuleta uzushi tu.

Ndio mkuu,Inapokua tuko ktk forum ya watu wanaoitwa "Great thinkers" halafu miongoni mwa members hata hawana taarifa kua kuna elimu kwa njia ya mtandao inasikitisha!!!! Ni vyema kabla hajasema kitu sema ukafanya uchunguzi kwanza.
 
Mkuu for your information and for those who think like you, District Commissioner is leading all governmental activities in the district. All issues which the citizen expect from the government like health services, security etc are obtained at a district level. Appointments of people from no where with no experience on governmental operations, on these post and the practical vacancies can not remove their importance. Actually it is the reason why we cannot develop in agriculture and with the resources available in this country. The DCs during colonial error championed introduction of cash crops in their area something people in this country think came from heaven. Honestly to be an appointee in this government in these posts is a shame

mkuu jieleze kwa kiswahili, hueleweki na kiingereza chako cha kuunga unga. Hisia Kali amejieleza vizuri sana na kueleweka.
 
Back
Top Bottom