CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Nimesema watu nyinyi (Lizaboni &Co Ltd) siwajibu!Kama ardhi haiendelezwi na kuna watu wanauhitaji wa hiyo. Hakuna kumwangalia nyani usoni ni kuua tu.
Yes, ninachokizungumzia hapa ni haki , kuwahimiza watu wavunje sheria. Hawa walivamia ardhi yake (Sumaye has a granted right of occupancy), trend hii kesho itakukumba wewe au anyone you are related to!Mmmmh!! Ardhi ya Sumaye. Si ndo huyu aliwahi kuwatamkia w/biashara kule Moshi kuwa ukitaka mambo yakunyokee, hamia ccm. Maana yake
Inasikitisha kuwa DC wa Kinondoni anawapa matumaini wavamizi wa ardhi ya Sumaye kuwa Lukuvi ataumaliza mgogoro huo na wanashangilia kwa matumaini. DC mnahubiri kutovunja sheria wakati huo huo mnawapa wavamizi waliovunja sheria za nchi kuwa "Hapa kazi tu" itawapa makazi hapo. Si sahihi! Simtetei Sumaye, concern yangu ni uvunjaji wa sheria kuwafurahisha wavunja sheria kwa manufaa ya kisiasa. Hata kama Sumaye amehamia upinzani, nadhani haki zake hazibadiliki kwa vile kaende upinzani.Tunayasema haya kwa vile trend hii itakwenda kwa wote walio upinzania na broadly kugusa haki za msingi za binadamu.
Nimesema watu nyinyi (Lizaboni&Co Ltd) sijibizani nao).Sasa wewe ardhi ya Sumaye inakuhusu nini? Umeshasema ardhi ya Sumaye ni kwa nini usimwachuie mwenyewe aipiganie, kwa sababu ni mali yake binafsi yeye ndiyo anajua alivyoipata na siyo wewe! Au ndiyo kila kitu Siasa? Kesho Sumaye akigeuka na kuamua kuwa transexual na wewe utajigeuza pia?
Jueni kutenganisgha mipaka ya Siasa na maisha binafsi, kama ardhi ya kwake Sumaye binafsi na siyo mali ya Chama cha chadema kwa nini ikuwashe wewe? isitoshe kama akiuza au akibakia nayo au akilipwa fidia wewe haupati hata sumni na wala hatachangia hiyo fedha na chadema na wala hatakwambia kama ameuza au amelipwa fidia sasa yote haya ya nini?
Asante maana wengi wakiwa CCM au pro JPM huwa hawaoni umuhimu wa kutenda haki.Utawala wa sheria lazima uzingatiwe. Leo wamevamia shamba la Sumaye kwa kuwa yupo CDM. Kesho wakivamia la kigogo wa CCM itabidi waachwe tu.
The rule of LAW ikipuuzwa, kuna hatari huko mbele. I am pro JPM, but i will assess each situation on its merit.
Nimesema watu nyinyi (Lizaboni&Co Ltd) sijibizani nao).
it is apity kuwa anahimiza uvunjaji wa sheria!Hata mimi nilimshangaa sana DC maana alisikiliza tu upande mmoja akaja na yale maazimio yake.
Hakuna anayejua kama aliwahi kuongea na Sumaye, akasikia naye ana lipi la kusema kuhusiana na umiliki wa hiyo ardhi.
Ni hatari sana kwa kiongozi anayepaswa kutenda haki kwa wote anapoegemea upande mmoja wakati wa kutoa maamuzi.
Ole wao wanaotuzia tusifanye kazi! hawataona ufalme wa mbinguni...na ardhi ya TZ itakuwa jahanamu kwao....Inasikitisha kuwa DC wa Kinondoni anawapa matumaini wavamizi wa ardhi ya Sumaye kuwa Lukuvi ataumaliza mgogoro huo na wanashangilia kwa matumaini.
DC mnahubiri kutovunja sheria wakati huo huo mnawapa wavamizi waliovunja sheria za nchi kuwa "Hapa kazi tu" itawapa makazi hapo.
Si sahihi! Simtetei Sumaye, concern yangu ni uvunjaji wa sheria kuwafurahisha wavunja sheria kwa manufaa ya kisiasa.
Hata kama Sumaye amehamia upinzani, nadhani haki zake hazibadiliki kwa vile kaende upinzani.
Tunayasema haya kwa vile trend hii itakwenda kwa wote walio upinzania na broadly kugusa haki za msingi za binadamu.
Tufanye kazi kwa haki lakini!Ole wao wanaotuzia tusifanye kazi! hawataona ufalme wa mbinguni...na ardhi ya TZ itakuwa jahanamu kwao....
Dah.. Sasa hii ardhi ni ya Chadema??? CCM?? au Sumaye?? Mbona unajichanganya dogoHii hali ikiachwa iendelee itapelekea uvunjifu wa amani siku za usoni.Ni viongozi wengi ambao wanakosa fursa chama tawala wanapenda kuhamia upinzani,hiyo ni hali ya kawaida katika kusaka fursa,sasa kama wakihamia upinzani wana fanyiwa figisu figisu na utawala,hapo haki za msingi zinakiukwa na wasimamia haki.
Hali hii itaibadili sura na sifa nzuri ya Tanzania tuliyoaminishwa kwa miongo kadha