CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Inasikitisha kuwa DC wa Kinondoni anawapa matumaini wavamizi wa ardhi ya Sumaye kuwa Lukuvi ataumaliza mgogoro huo na wanashangilia kwa matumaini.
DC mnahubiri kutovunja sheria wakati huo huo mnawapa wavamizi waliovunja sheria za nchi kuwa "Hapa kazi tu" itawapa makazi hapo.
Si sahihi! Simtetei Sumaye, concern yangu ni uvunjaji wa sheria kuwafurahisha wavunja sheria kwa manufaa ya kisiasa.
Hata kama Sumaye amehamia upinzani, nadhani haki zake hazibadiliki kwa vile kaende upinzani.
Tunayasema haya kwa vile trend hii itakwenda kwa wote walio upinzania na broadly kugusa haki za msingi za binadamu.