Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

Mheshimiwa JPM anasema alizisoma vizuri CV za wooote waliopeleka hizo CV. Hivi huyu alipeleka CV kwa Mheshimiwa au aliteuliwa juu kwa juu? Kama alipeleka CV kwa nini ateme mzigo?

hakupeleka cv aligombea Ubunge Tabora huko baada ya hapo TISS ndio uwa zinakusanya cv za watu wote waliogombea na kuziwasilisha kwa Raisi, kutokana na hizo cv Raisi ndio uwa anateua bila wao Kujua na Kutoka Tigo alichaguliwa huyo Maswanya( akakataa) Tumaini ili akawe Mkurugenzi Mwanza ( akakataa) Deogratius Ndenjembi ndio peke yake alikubali Kua DC kwa sababu uteuzi ulitoka wiki moja baada ya yeye kuacha kazi Tigo kwa ajili ya kugombea ubunge kwa hiyo alikua yupo yupo mtaani

Wafanyakazi wa Tigo wanalipwa vizuri sana sio sawa na DC angewapa uwaziri au labda ukurugenzi sio ukuu wa Wilaya take home ya million 7- 10 ni kawaida kule bado mikopo bank
 
Maswanya bado yuko Tigo?
 
Back
Top Bottom