Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

Cost Benefits analysis! Huwezi kuacha Taaluma yako then ukafanye kazi ya Unoko fitina na Majungu! Ukuu wa Wilaya ni Kazi ya watu walio kosa kazi! Hongera MASWANYA!
Nafikiri huyu jamaa somo la risk management alilielewa vizuri, ni mchumia tumbo pekee anayeacha professional job anakimbilia kazi isiyo na security yeyote.
 
Tatizo pamoja na michango yenu mingi mizuri lakini lazima tuwe wakweli pia kuwa zama za kuona utumishi wa umma ni fursa za kupiga zimepita. Ukuu wa wilaya toka enzi ya Mkapa na zaidi Kikwete huwezi kuikataa fursa hiyo. Ndio maana kuna matajiri walienda kugombea hadi udiwani. Fursa za wizi kupitia utumishi wa umma hakuna ...walau tuone upande huu pia. Tuache kufikiria kikada kada tu ili tutafute mileage za kisiasa.
 
Huyu bwana anafanya kazi Tigo, mkataba wake na tigo ni akiuvunja anatakiwa awalipe! Sasa kwa nafasi za kisiasa hizi za kuteuliwa leo kesho unatumbiliwa kaona bora isiwe tabu.
 
Cost Benefits analysis! Huwezi kuacha Taaluma yako then ukafanye kazi ya Unoko fitina na Majungu! Ukuu wa Wilaya ni Kazi ya watu walio kosa kazi! Hongera MASWANYA!
Ni kweli kabisa. Kazi wanazopewa majobless kama Pole pole, Makalla na wengineo.
 
Nadhani issue ya mshahara maana tigo anakula kama 13M gross, udc sidhani hata 4 M kama zinafika, pia ameangalia office location Mbozi is too interior wakati mwanza Kuna fursa nyingi plus ni zonal manager wa mikoa mitano ya kanda ya ziwa
Interior gani unazungumuza wewe ???
 
Hizi kazi zinawafaa kina Humphrey Polepole Paul Makonda na kina Salum Hapi waganga njaa wasio na taaluma kichwani kazi kutembelea ma STK used.. mtu na taaluma yako ukapigiwe kelele mashambani kwa walala hoi na kukimbizana na gongo na mimba za vibinti plus madawati fyaaaaaaa... Njoo mwanakwetu tuendeleze taaluma zetu tulizogharamika miaka minne degree...! Muda wa kuandaa mapokezi ya kibatari waachie kina Polepole, si unaona hata sura zao zilivyokomaa njaa tupu na kutangatanga!!!
Wakikuteua utakataa umeonekana !
 
mwanzoni hakujuwa aliteuliwa kwa ajili ya nini.........baada ya kuambiwa ana uwezo wa kuwaweka watu ndani, akaona bora 'kikombe kile kimuepuke'. huyu atakuwa mcha mungu sana pia siyo mwana..............jeiishi
Mawazo yako wala hufungwi mkuu
 
Hii inaonyesha wazi kabisa kwamba mkuu huwa hawasiliani na watu wake kabla ya uteuzi. Anadhani kila mtu ana njaa ya vyeo
 
Hata mm ningemuona kichaa, Tigo analipwa Zaidi ya Mil. 10 kama take home, unaendaje kuwa DC kwa Mil. 4..
 
Ally Maswanya namkumbuka alikuwa Airtel Kanda ya Ziwa ,kwa elimu yake na Uzoefu wake sishangai kuikacha hiyo kazi isiyotabirika..After all Mshahara anaochukua kule ni mkubwa sana compared na huo atakaoenda kupewa............!!
 
watu wanajali kuwa wa kwanza kuanzisha uzi kuliko kufikisha ujumbe ulio kamilika wenye mantiki
Sijui faida yake nini!
Mtu analeta habari robo, kiasi kwamba anawaacha na maswali lukuki.
hii siyo sawa kabisa.
 
Yaani mtu alikubali offer ya magufuri kabla ya kutangazwa , sasa kugeuka mimi naona ni kigeu geu.
 
Ameona Hailipi.... siwez kuacha 8 Mil take home (mfano) kwa Ajili ya Kutembea na Kibendera kufata 3 Mil NMB
 
Back
Top Bottom