Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

Kwan Ma-DC wanalipwa bei gan, naskia kule tiGo alkua anakula em 14
 
Ni kwa nini apoteze kazi yake Tigo tena Mkurugenzi afuate U-DC ambao hauna uhakika wa usalama wa kazi yenyewe. Mchango wake wa kuipigia debe CCM wakati wa kampeni unatosha.
Anaogopa kipele alionacho kisije geuka jipu
Pia huenda kazi yake TIGO inahitaji zaidi ubunifu na uwajibikaji zaidi ya kujipendekeza na fitina. Kaitendea haki nafsi yake nadhani hivyo hata kama ni umasikini au utajiri vitamuacha na amani ya moyo.
 
Uislamu hautak unafiq. Hakika katenda kwa kadiri ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na thawabu yake ni dufu huko akhera.
 
DAS Yuko Chini Ya DC, Hana Ubavu Huo
Ndiyo yupo chini ya DC lakini ndo mshika fedha, DC hana ubavu wa kuamua matumizi ya fedha. Jamaa likiamua itabidi DC anywee, Nina ushahidi wa haya ninayoyasema. Hivi ulishawahi kusikia ugomvi wa RC na RAS? Ndivyo ilivyo hata kwa DC na DAS. Ukisikia ugomvi kati ya hao wawili ujue ni mambo ya fwedha!
 
Godwin Gondwe kaacha salary ndefu sana pale Tumaini University Dar es salaam kaenda kuwa DC.
Hao wengine wanafuata madaraka mkuu! Si unajua tena DC kila unakoenda lazima uwe na escort huku bendera inapepea juu ya shangingi lililoshibishwa mafuta na kodi za walalahoi! Hivyo wengi wanaridhika na hivyo tu. Kuna akinamama wengine wawili wametoka SUA sasa najiuliza ina maana walikuwa hawalipwi vizuri kweli au ni huko kufuata ujiko? Haya bwana wacha wakawe watumwa, kikinuka huko tusijuane tena!!
 
Kama bado unazo chemchembe za aliyepita utaumia ndugu tunataka twende sawa kimaisha
 
Ni sahihi jamaa kuacha UDC kwa sababu wewe ni zonal manager wa kampuni ya mawasiliano mshahara na marupurupu tunaongelea zaudi ya 18million kwa mwezi sasa je dc mshahara sh ngapi? Na hakuna job security
 
Kumnyenyekea mtu jmn nacho ni kipaji km vngne... Namuunga mkono Mara dufu. Acje ondoshwa dunian bure na pressure zitokanazo na mihemko
 
Mshahara wa Tigo mnono kuliko serikalini ukizingatia safari hii no rushwa
Fact Sheet! Jamaa anakula zaidi ya 10m(net) wakati DC anakula 3.5m (Net).... bajeti ya kanda yake nzima....mikopo ya bank...anakula zaidi 100m! Atalipaje? Hata mimi sikubali! Hao wengi toka Majeshi wanaendelea scale zao za utumishi serikalini! Makada wa ccm na wengine fadhila....hawana jinsi maana makada na wale fadhila utakuta walikuwa hawana kipato hicho! Lakini kama uko vizuri na issue zako! Unakataa uteuzi kama Ally Maswanya
 
Fact Sheet! Jamaa anakula zaidi ya 10m(net) wakati DC anakula 3.5m (Net).... bajeti ya kanda yake nzima....mikopo ya bank...anakula zaidi 100m! Atalipaje? Hata mimi sikubali! Hao wengi toka Majeshi wanaendelea scale zao za utumishi serikalini! Makada wa ccm na wengine fadhila....hawana jinsi maana makada na wale fadhila utakuta walikuwa hawana kipato hicho! Lakini kama uko vizuri na issue zako! Unakataa uteuzi kama Ally Maswanya
unaweza ukawa na hoja za msingi hapa!!
kama mtu anakula 10m then uje umpe 3.5m, hata mi nakataa
pesa kwanza mengine baaadaye!!!!
pua zangu zinanusa mkwanja tu
 
Back
Top Bottom