Mkuu wa wilaya Morogoro apiga marufuku bar kuzidisha muda

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
mkuu wa wilaya morogoro mjini amepiga marufuku bar zote mjni morogoro kupiga mziki na kuzidisha muda uliyowekwa kisheria.
mkuu huyo wa wilaya amese amewaita wafanyabiashara wote wenye bar na kuwapa maagizo ya kutokuzidisha muda uliopagwa kisheri,pia amewapa onyo kali kwa wale wanaopiga mziki kwenye makazi ya watu
"mkuu wa wilaya wa morogoro amefanya vizuri kuwaonya wote wenye mabar na kuwaonya wafuate sheria,napenda kuwashauri polis wilaya ya kinondoni ili kuepuka rushwa wafanye kama alivyofanya mkuu wa wilaya wa morogoro,mkuu wa wilaya wa morogoro ametenda haki kwa kuwaonya wafanya biashara wote bila kujali mtu ama nguvu ya pesa
sheria ni kwa wote ili kuepuka rushwa
 
Last edited:
Akiamua atapaweza tu samaki samaki,alitinga hapo usiku wa kuamkia jpili kwenye mishale ya sa 9 usiku baada ya kusikia mziki mkubwa,ndo maana ametoa agizo hilo
saa 9 usiku?? Hiyu atakuwa alienda kutafuta ile bidhaa..maana samaki samaki ndio penyewe mida hiyo
 
Akiamua atapaweza tu samaki samaki,alitinga hapo usiku wa kuamkia jpili kwenye mishale ya sa 9 usiku baada ya kusikia mziki mkubwa,ndo maana ametoa agizo hilo
Nina mashaka sana na agizo hilo kama litatekelezwa maana kuna night clubs ambazo zina leseni kabisa
 
dar wanakamata kweli bar ambazo zinazidisha muda lkn kwa wale wanatoa rushwa hawakamatwi
hili nalo ni jipu lingine kwa watendaji
 
atuache zetu ye alale n familia sie tujimwage chezea ekotite? inachezek vizuri uck kuanzia saa saba hivi
 
saa 9 usiku?? Hiyu atakuwa alienda kutafuta ile bidhaa..maana samaki samaki ndio penyewe mida hiyo
Kwanza wamiliki wa samaki samaki nao ni jipu!
Kikubwa watulie no kukesha. ...

Ovaaa
 
Regina Chonjo huyo anadhani moro ni pangani eeh
Tumpe Muda dada Regina! Sasa ana kasi na pressure! Baada miezi 3 atazoea na atatulizwa hayo ndio mapato yanaendesh nchi!! Nchi inaendeshwa na walevi ati! Hakuna vyanzo vya mapato ni ulevi tu wa wananchi hao hao!
 
Back
Top Bottom