Mkuu wa wilaya manispaa ya tabora analazimisha walimu kuchangia mwenge na sherehe za uhuru

Malili

Member
Aug 17, 2011
48
7
Jana mkuu wa wilaya Manispaa ya Tabora alionja joto ya jiwe baada ya kuwakusanya walimu katika ukumbi wa chuo cha utumishi wa umma na kuwataka wachangie sh. 5000/= kila mmoja kwa ajili ya mchango wa Mwenge na Sherehe za miaka 50 ya Uhuru huku akiadai anahitaji sh.million 280,000,000 kwa ajili ya sherehe nzima.

Walimu vijana walimwambia huo ni Ufisadi kwa nini uhitaji hela nyingi hivyo kwa ajili ya sherehe ya siku moja na usisaidie watoto masikini na kuchonga madawati. Wanajamii tunahitaji mawazo yenu pia kwa hili.
 
walimu nao wamezidi upole, wanakatwa mno makato ya kijinga, kwanza hawana umoja kabisa, huoni hata wewe unasema "walimu vijana ndo walihoji" hao wengine waliridhika?
 
Back
Top Bottom