Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,463
- 1,901
Steve Nyerere ndani ya Kisarawe
Utajijuuu....Mpaka Afande anajua this is fake. Hawapigagi saruti huku meno yote 32 yapo nje.
huyo steve nyerere kwa kujipendekeza hajambo? kijamaa kinajifanyaga kina akili kuliko wasanii wote
HeheheMpaka Afande anajua this is fake. Hawapigagi saruti huku meno yote 32 yapo nje.
Hahaaa... itakuwa mheshimiwa ndo alianza kucheka haamini kama ni yeye anapigiwa salute kumbe ndo imeshakuwa hivohuyo afande kaonyesha dharau ya hali ya juu,yani anampigia salute mheshiwa huku ukiwa unacheka!
We jamaa unaua bwana...dah!nimecheka kwa sautiEm tuwe wakweli wanaume wenzangu nani mwenye uthubutu wakumnyima mtoto joketi hiyo nafasi? Mimi hata Bunge lenu ningeuza tu mngejenga jingine