Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,697
Mkuu Wa wilaya ya Bagamoyo amemuagiza Mkuu Wa polisi wilaya hiyo kumuhamisha Mara moja mkuu wa kituo cha polisi cha wami ifikapo kesho kutokana na madai kuwa anawapendelea wafugaji dhidi ya wakulima.
Akiongea kupitia taarifa ya habari ITV usiku huu, amesema kuwa Kama mpaka kesho Asubuhi atakuwa hajahamishwa basi yeye atafanya fujo kubwa snaa bila kusema ni fujo gani hiyo.
Kwa hali hii sizani kama ndio utawala Wa sheria unao ongoza nchi maana Kama mtumishi Wa serikali alistahili kusikilizwa na ikibainika kuwa anahatia ndipo angechukuliwa hatua.
Huwezi sikiliza maoni ya upande mmoja tuu halafu wewe sio hakimu unatoa hukumu tena uhamisho Wa siku moja hii sio halali na kinyume kabisa na haki za binadamu na utu hata Kama ingekuwa ana hatia.