Mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya,mmoja kati ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya,ni kamanda wa polisi wa wilaya (OCD)
Kwa nini hakumwambia hukohuko kwenye vikao?
He huwa hawafanyi vikao mpaka ifike ITV?
Kama kiongozi kachukua hatua gani za kudumu kutatua mgogoro? Au anarusha mzigo kwa mnyonge ili yeye abaki salama? Alishaitisha kikao na wafugaji akajua kwa nini wanazozana na wakulima?
Kwa nini anataka kufanya fujo wakati siku ya kuapishwa alikabidhiwa sheria na katiba na akaapa kuzilinda na kuziheshimu?