This is a rubbish and stupid undertaking!na wa kuwahamisha maeneo yao ya kazi.
Kichwa chako kimejaa makamasi,unawaza Udini tu.Wakristo wote. Sawa
Aendelee kutupigia kama tulivyopigwa kwenye ukarabati wa kivuko cha kigamboniSamia hadi #2040
kituo cha polisi kirombero chote kimeoza wapo polisi hapo wanamiliki pesa chafu wanamiliki mafuso magali ya sitarehe wanachota hela kwa wafugaji viloba mkulima hana thamani mwenye nguvu ni mfugaji tu mahakama zizipo tuUmauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana.
Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri Masauni amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) #CamillusWambura kuwachunguza na wa kuwahamisha maeneo yao ya kazi.
Kati malalamiko yaliyotajwa na Wananchi ni pamoja na baadhi ya Askari kuwakamata bila utaratibu, kunyimwa dhamana, kutozwa faini na madai ya kutumiwa na Wafanyabiashara wenye Fedha pamoja na kuwambikia Kesi za jinai.
tz ndio nchi pekee ambayo hasikali anasitafu akiwa kwenye kituo alicho anzia kazi bila kuhamishwa kwann asikigeuze kituo mali yake?Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana.