Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aomba radhi kwa Rais Magufuli baada CCM kushindwa kata ya Ibighi! Akana baada ya kuhojiwa

Hapo ndio utajua maneno ya nape Na pole pole kuwa walishinda uchaguzi kituo cha wapiga kura 103 ccm inapata 356 chadema anapewa 51 Na mbwembwe za polepolr
 
Hivi anaemlipa mkuu wa mkoa, wilaya au mkurugenzi ni rais au wananchi? Na anaemlipa rais ni nani?

Nsio maana naona kuna umuhimu na ni wakati wa kukataa hivo vyeo vya wakuu wa mkoa, wilaya na wakurugenzi maana sasa sii tena watumishi wa umma ila makada wanaotetea vyama vyao kwa gharama hata ya damu zetu.
 
Ndio mmi sifahamu,ila wwe inaonekana unakamwngaza kiDogo.......

"Ajiuzuru. Hatuwezi kumlipa mshahara alafu anashindwa kazi tuliyomuagiza"
Soma bandiko zima utaelewa. Usikurupuke kujibu comment kabla hujasoma bandiko. Hutaweza kuelewa kamwe
 
Kwa Magufuli ataomba radhi kwa kutofanya tukio la udanganyifu lkn kwa Mungu ataandikwa kwenye kitabu watu wema pepo ikimsubiri kwa kutokuwa mwizi na mnyang'anyi wa kura za wananchi.
 
Hata shetani haipendi CCM licha ya wana wa Adam, mnajitekenya CCM na kucheka wenyewe muda utasema umma utakapoamua hakuna cha polisi, jeshi, usalama wa taifa au chombo chochote cha dola kinacho wabeba na mnawategemea.....Only time will tell very soonest as we fed up with the CCM governance.
 
Angeomba radhi kwa maeneo yake kukosa shue, umeme, barabara au maji angeeleweka
 
Kauli ya huyo RC itakuwa imewavua nguo hawa mabwana na kwakweli kwa sasa watakuwa wamejawa na ghazabu ya kufa mtu huko waliko maana waliishaitangazia dunia kuwa wao wameshinda kisayansi.

Nawapa tahadhari moja tu kuwa kama hamna au hamkutanza ushahidi wa sauti juu ya aliyoyasema mjiandae kwa figisufigusu ndani ya masaa 24 mpaka 72 yajayo.

Jambo lingine ni kuwa,kama mliongea nae kwa simu ni bora mkawahi mapema kwenye kampuni husika ya simu ili wawakabidhi ushahidi wa mazunguzo hayo mapema na haraka iwezekanavyo maana lolote linaweza kutokea.

Mwenzako akinyolewa,wewe tia maji.


Mkuu haujasomeka vizuri. Wengine hatujui unachozungumzia ila tumevutiwa na hii habari.

hebu tuambie ni kitu gani kinachoendelea, ni nani kasema nini etc.
 
Tanzania tuna demokrasia ya maigizo. Wakuu wa mikoa, wakuu wa wiaya wakurugenzi wote ni makada wa CCm na wanalipwa mishahara na marupurupu mengine kwa kodi zetu sisi lakin tunawalipa ili waendelee kuitumikia CCM na sio sisi. Kwa hali hii unaanzaje kuniambia niwe mzalendo wa kulipa kodi kwa Taifa langu ilihali kodi inaenda kununua V8 na kuwalipa mishahara minono makada wa chama? Ngoja tukajaribu maisha Kenya yakitushinda tutarudi bongo
 
Narudia kusema wale watu wa kibiti walikua wagombania democrasia ila hatukujua tu.
 
Sitakaa nipige tena kura jua lote lile alafu wapuuzi walijipanga kuiba kura dah! Sikibaki chama kimoja tatizo lipo wapi kwani
 
Back
Top Bottom