Mkuu wa mkoa wa DSM Vita dhidi ya Madawa ilikuwa Kwa kina Mbowe, Gwajima Na Manji?

Unaniuliza swali tena!?
Kama sijui ulichokitaja unataka iweje...mwanaume wa Dar duh karibu kijijini ule organic food.

Na uliyemtaja simfahamu, hivyo sijajua umemaanisha nini.
Anza kumkaribisha kwanza unayemsifia kabla hujanikaribisha mimi, maana repulsion force haipimiki hapa
 
Ha ha haaa, Ahsante.

Huyo lazima alipiga kelele mambo yawe kimya kimya, sasa hivi anaulizia ha ha ha haaaaa

Makonda oyeee

Anapiga kazi kama kawa

Watu wanaisoma namba

Kiongozi Shupavu
Wewe lazima utakuwa Mrs Bashite bila shaka . .
 
Watu wamemmisi bashite. Makonda bana ni kama maji..usipo mnywa unamuoga.

Wameshamtafuta mda huu tu.
Subirini arudi kwenye media
 
Mh.Paulo Makonda Mkuu wa mkoa wa DSM ile kampeni yako ya madawa ya kulevya ilikuwa kwa ajili ya Mh.Mbowe, Askofu Gwajima Na Rais wa Yanga tu?
Vita ya Kumudslinging kina Gwajima, Mbowe, Wema na Manji. Kuchafua image za watu kwenye jamii ili atakapotakiwa kuhakiki Cheti wapambe wake waseme drug dealers ndio wametumwa. Hii ilikuwa movie ya kutusahaulisha Ben Saa8. Kuhalalisha extinction ya Bilicanas.
 
Wabongo sisi akili bado sana tena sana,makonde alichofanya ni mchezo wa akili unataja baadhi tena hata kama siyo wahusika then kwa wahusika wenyewe unavuta mkwanja,ili usiwataje
 
Mwenye kumsifia huyu kolomije na yeye lazima atakuwa zero brain sio bure, Hakuna alichofanya zaidi ya kuongoza dhulma kwa wafanyabiashara Halali huku akiwaacha Drugs lord wakiendelea kuchapa kazi
 
Back
Top Bottom