mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Napenda kumshauri Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paulo Makonda asiwe kiongozi wa kutoa Matamko kila kukicha badala yake awe anayafuatilia kuona kama matamko yake yametekelezwa.Baadhi ya matamko yake ambayo sidhani kama yana tija kutokana Na kutokutekelezeka in pamoja Na :
1.Walimu kusafiri bure
2.Kuibua vipaji
3.Migogoro ya Ardhi nakupelekea kuwatia ndani watumishi wa manispaa ya Kinondoni
4.Kuwaondoa omba omba
5.Kuwakamata mashoga
6.Kufunga viwanda vya mifuko ya plastiki
7.Kukamata bodaboda wasipo vaa kofia maalum
Nia yake in nzuri lakini in vema angehakikisha analikamilisha kuliko kutoa tu matamko.Mkuu Tupo pamoja katika harakati zako za kuyatekeleza hayo.
Kidumu chama cha mapinduzi.