Mkuu wa mkoa wa Arusha Felix Ntibenda atumbuliwa

KIGWANYA

Member
Apr 14, 2016
81
103
Habari za hivi punde zinasema, uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Arusha umetenguliwa na nafasi yake kuchukuliwa na Mrisho Gambo. Inaelezwa kuwa Ntibenda atapangiwa kazi nyingine.
Je huku si kumtumbua taratibu? ni kweli atapangiwa kazi nyingine? tusubir tuone
 
Back
Top Bottom