MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Polisi hawajalipua mabomu??
mara ya kwanza mlisema alipigwa na nyanya sokono leo tena kamwagiwa maji
Mbona hatuskii reaction yoyote au mtakaka kusema yeye ni mchungaji hivyo anamwachia Mungu
" Habari za umbea kwa watu wazima hazipendezi hata kama ni kujifurahisha si kihivyo jamani dah !! "
kileo ni aje au ndo uliamua kutufix, log off
Kamanda sijawahi kuongopa wala sinto ongopa hapa JF maana naamini hili ni jukwaa la watu wenye Busara. Kwenye maisha yangu huwa sipendi uongo.white is white Red is red.
Hii habari ni unafiki mtupu, RC wa Arusha kaingia usiku huu kutoka Dar es salaam.
Acha kufikiri kwakutumia masaburi wewe, sasa kama mtu anashindwa kusimamia maadili ya uongozi unataka akipita watu wa mchekee, yaani Arusha hakunaga huwo upupu kama ni white ni white hivyo hivyo.
Unapaswa kucement point yako badala ya kufikilia " masaburi " mara zote mi sipo Arusha hii issue ndiyo nimeipata kwako hapa Jitahidi kujibu hoja siyo kukurupuka kutype usichokiamini JIPANGE MAPEMA mkuuAcha kufikiri kwakutumia masaburi wewe, sasa kama mtu anashindwa kusimamia maadili ya uongozi unataka akipita watu wa mchekee, yaani Arusha hakunaga huwo upupu kama ni white ni white hivyo hivyo.
kwani we unakaa arusha?
*unataka kujibiwa kistaarabu wakati wewe umeandika utumbo? hapa kama umeandika utumbo utajibiwa utumbo..... umenipataaa sasa?Unapaswa kucement point yako badala ya kufikilia " masaburi " mara zote mi sipo Arusha hii issue ndiyo nimeipata kwako hapa Jitahidi kujibu hoja siyo kukurupuka kutype usichokiamini JIPANGE MAPEMA mkuu
kwa nini viongozi wengi wa ccm wanapenda kutumia police pindi wanapobanwa?Atatuma polisi hapo waambie wakae macho,na hizo biashara zao hapo watanyanyaswa sana,wajiandae.
kwani we unakaa arusha?