Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

hii tuiendeleze hata kwa wale wabunge wa CCM wanafiki wanaojifanya eti sisi ni wawakilishi wa wananchi wakati ni ma bogus, wakipita kitaa tuwaogeshe kwa mayai viza
 
No no no hili haliwezani kutokea hata kidogo. Mkuu wa mkoa ni Raisi wa mkoa. Kwa kufanyiwa hivyo angeweza kuita polisi mara moja na kufunga biashara za hao akina mama. Tanzania hatujafikia huko labda Ulaya na America tu ndiyo wanaweza kuwarushia viongozi wao nyanya mbovu na mayai viza.
 
Unashangaa nini mkuu? nenda Mwanjelwa kule Mbeya uambiwe walimfanya nini Raisi wa nchi achana na Rais wa mkoa?
Watu wakifika point of no return acha kabisa!
 
Huyo RC alifikiri hapo sokoni ni sawa na kule kwenye kikao cha madiwani na wenyeviti wa mitaa alipokuwa na uhuru wa kuwatoa maneno ya kebehi na dharau kwa chadema! Kama ni kweli akina mama walimfanyizia hivyo atajifunza maana next time atamwagiwa unga usoni awe kama avatar ya ritz!
 
Na bado anataka kuwadanganya watu wazima na wakati wanaju kila kitu poleeee sana magamba kwa Arusha mmechemsha
 

tukifikia hapo basi ukombozi umewadia
 
Na bado, ipo siku na haiko mbali hata hao askari wanaopewa amri ya kuwa twanga watu risasi kuna siku watamgeuzia kibao wamtwange yeye risasi.
 

aliingia kama nani kwenye vikao hivyo?
 
Haaaahhaaa Mkuu wa mkoa Utatia aibu arusha hutaiweza kamwulize Lowassa anatumia Sh. ngapi kudidimiza chadema lakini kila kukicha ni afadhali ya jana...
 
Ndo maana ya nguvu za rais,badilisheni katiba.

Nashangaa kwanini mwalimu hakuona katiba mpya ingekuwa jambo la maana sana...Hata mara baada ya kuondoka madarakani?

Mwalimu alikuwa mjanja sana aliyajuwa kuwa watanzania wakifunguka tu watadai katiba yao.Ndo maana akakabizi kijiti mapema.
 
katk namna ya kawaida ni lazima kuna kauli alizisema ndo yakatokea hayo, kama inawezekana ungetujuza kama alitoa lafidhi gani hadi yakamkuta hayo? juzi ilikuwa mbeya jana arusha leo itakuwa wapi? anayeweza kutabiri ajaribu, mi nadhani ni zamu ya mjengoni sasa.
 

Kwa tukio hili viongozi wapya wa mkoa wa Mwanza kuweni makini na kauli zenu za kujipendekeza kwa mabwana zenu!!
 
i have liked that...women have powers no one can imagine. ndio maana mkapa aliogopa sana pale prof tibaijuka alipoanzisha Baraza la Wanawake la Tanzania...alilivunja mara moja!!!! kuingia kwangu chadema kulitokana na kauli moja ya mwanamke....zamani nilikuwa kada wa ccm....ila nikaja kuteseka sana baada ya kuona niliko siko kwa nafasi yangu kama kijana, mzalendo na msomi.... huyu mwanamama aliniandikia mail na kunipa mstrari huu mmoja....TANZANIA INAJEGWA NA WENYE MOYO NA INALIWA NA WENYE MENO, WEWE UNA NINI MOYO, MENO, AU UNAVYO VYOTE...... nilitafakari, nikaguna..nikatafuta ofisi za chadema zilipo na leo hii ni kada wa ukweli wa cdm.... jamii ilishangaa, na kunigeukia, nimekosa mengi lakini nina amani...sijutii uamuzi huu... hongera sana kina mama kumtupia nyanya huyo nut!
 
Akipata nafasi kuongea kwenye media atasema waliomtupia nyanya wametumwa na CHADEMA
 
Na angepitia kwenye baa ninayokunywaga nahisi wangemwagia bia!
 
Hapa patamu. Viongozi wa serikali ya ccm wakitaka mazungumzo(salam) na raia ktk maeneo yao ya kazi wanafukuzwa. Kwa upande mwingine viongozi wa upinzani wao wanapokelewa kwa kelele za shangwe na vigelegele vya furaha jambo linalowapa taharuki policeCmm, kuwakamata kwa kisingizio cha mkusanyiko usio halali. Hali hii inaashiria nini?
.
 
Hiyo ndo saiz yake huyo kbaraka wa sisiem.Kwan wlaya 2 ilmshnda.Watanganyika igen wa2 wa A Town.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…