krava
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 225
- 287
Ndg mkuu wa mkoa wa morogoro tunakuomba ufwatilie Sacco's inayoitwa kireka uko kule juu forest karibu na shule ya msingi nguzo
Sacco's hii inajumuisha watumishi wa umma walioko chini yako hapo mkoani morogoro.
Ilikuwa inakata makato ya wafanyakazi na makato yapo kwenye salari slip makato hayo yalikuwa kama akiba kwa muda Fulani mpk MTU atakapoaacha au kustahafu
Pia Sacco's hiyo ya kireka iliahidi mwaka 2004 kwamba itawapa watumishi viwanja wajenge na walivilipia
Ndg mkuu wa mkoa wa morogoro mpk wazee wamestahafu hawajapewa hivyo viwanja pia makato yao ambayo walichangia toka 2004 hawajalipwa mpk Leo wakati MTU amestahafu toka 2012
Mkuu wa mkoa morogoro tunakuomba fwatilia Sacco's ya kireka ni jipu naamini unasoma sana jamiigorum.
Nakutakia mwaka mpya mwema