ebu wacha mambo yako wewe, hakuna uhalifu wa kawaida. Uhalifu ni uhalifu na serikali na wananchi waukemee na kupambana naouna uhakika na madai yako?.............. kama ni kweli, utakuwa uhalifu wa kawaida....................
una uhakika na madai yako?.............. kama ni kweli, utakuwa uhalifu wa kawaida....................
Wana jf, habari za wkend, kuna habari nimesikia zimenisikitisha sana. Ati mkuu wa mkoa wa lindi na kaimu mkuu wa mkoa wa dsm ktkt ya wiki hii wakati akitokea ddm kuelekea dar, alipofika maeneo ya ubena zomozi alitokea mtu pembeni ya barabara akaingia barabarani gafla kisha akatoka nje ya brbr. Dereva wa gari la mkuu wa mkoa alidhiti gari vizuri lakini mara baada ya kumpita huyo mtu juwe kubwa lilirushwa kwenye gari likavunja kuyo na kuangukia kwenye mkono wa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa amevunjika mkono. MY TAKE: barabara ya dar-moro-dodoma haijawahi kuwa salama kwa wasafiri, je serikali hailioni hili?. Mtakumbuka kuwa hata mh. Anne kilango alishawahi kuporwa ktk barabara hihii. Uozo huu utendelea mpaka lini?
Ana kilango hakuishiwa kuporwa tu na kubakwa walimbaka vibaya sana
Ana kilango hakuishiwa kuporwa tu na kubakwa walimbaka vibaya sana
MY TAKE: barabara ya dar-moro-dodoma haijawahi kuwa salama kwa wasafiri, je serikali hailioni hili?. Mtakumbuka kuwa hata mh. Anne kilango alishawahi kuporwa ktk barabara hihii. Uozo huu utendelea mpaka lini?
Japokuwa Kiswahili chako kigumu kidogo, lakini nimejitahidi kukielewa ivyo ivyo... Ilo juwe (jiwe) lilikuwa kubwa kiasi gani kiasi liweze kuvunja kioo cha gari na mkono wa mheshimiwa... ni ajabu kweli kweli.Wana jf, habari za wkend, kuna habari nimesikia zimenisikitisha sana. Ati mkuu wa mkoa wa lindi na kaimu mkuu wa mkoa wa dsm ktkt ya wiki hii wakati akitokea ddm kuelekea dar, alipofika maeneo ya ubena zomozi alitokea mtu pembeni ya barabara akaingia barabarani gafla kisha akatoka nje ya brbr. Dereva wa gari la mkuu wa mkoa alidhiti gari vizuri lakini mara baada ya kumpita huyo mtu juwe kubwa lilirushwa kwenye gari likavunja kuyo na kuangukia kwenye mkono wa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa amevunjika mkono. MY TAKE: barabara ya dar-moro-dodoma haijawahi kuwa salama kwa wasafiri, je serikali hailioni hili?. Mtakumbuka kuwa hata mh. Anne kilango alishawahi kuporwa ktk barabara hihii. Uozo huu utendelea mpaka lini?
Duh inasikitisha sana
Mimi naipenda hii, kama ni kweli mkuu wa mkoa kavunjwa mkono basi ni nzuri sana. Natamani hii iende hadi kwa mawaziri na hata ikiwezekana Rais. Itasaidia sana kutuondolea vibaka humo njiani na hata majambazi wanaovamia nyumbani kwetu. Maana sisi wengine tukivamiwa tukakatwa mapanga, wala serikali haioni kama hilo ni tatizo. Bora sana vibaka hawa waendelee kufanya hivyo kila wanapoona gari la viongozi.