Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,270
- 4,691
Wana jf, habari za wkend, kuna habari nimesikia zimenisikitisha sana. Ati mkuu wa mkoa wa lindi na kaimu mkuu wa mkoa wa dsm ktkt ya wiki hii wakati akitokea ddm kuelekea dar, alipofika maeneo ya ubena zomozi alitokea mtu pembeni ya barabara akaingia barabarani gafla kisha akatoka nje ya brbr. Dereva wa gari la mkuu wa mkoa alidhiti gari vizuri lakini mara baada ya kumpita huyo mtu juwe kubwa lilirushwa kwenye gari likavunja kuyo na kuangukia kwenye mkono wa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa amevunjika mkono. MY TAKE: barabara ya dar-moro-dodoma haijawahi kuwa salama kwa wasafiri, je serikali hailioni hili?. Mtakumbuka kuwa hata mh. Anne kilango alishawahi kuporwa ktk barabara hihii. Uozo huu utendelea mpaka lini?