Elinewinga
JF-Expert Member
- Aug 16, 2011
- 632
- 175
Mkuu wa Mkoa wa Arusha jana alitoa namba zake za simu ili wananchi watakapokuwa wanakwenda kuhitaji huduma kwenye ofisi yeyote ya serikali na ukiombwa rushwa umpigie mara moja.hili ni jambo zuri sana maana hata trafik arusha wamezidi kwa usumbufu usio na lazima itasaidia sana kuwaripoti mara moja.namba zenyewe ni 0766030000 na 0754604003