Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Wananzengo wanasema hivyoJe, hii ndio sababu ya Manula kupatiwa gawio kubwa...!!
Wananzengo wanasema hivyoJe, hii ndio sababu ya Manula kupatiwa gawio kubwa...!!
GSM groupKatika hali ya kushangaza na hakuna mwenye anahoji.
1. Huyu bwana anagawa hela kama njugu wakati shule zetu hazina hata vitabu
2. Anagawa magari yale ya hadhi na sio IST wakati kuna zahanati hazina ambulance.
3. Huyu bwana mdogo anafanya kufuru isiyo ya kawaida. Hakuna mtu akasimama kuhoji chanzo cha hizi fedha.
Bwana CAG sijui kama anaona huu upoyoyo. Sijui kama huyu bwana anafanya biashara nje ya kazi yake ya mkuu wa mkoa. Sijui huyu bwana anafadhiliwa na watu gani huyu.
Hakuna hata mbunge amepata ujasiri wa kuhoji haya mambo. Labda sisi wananchi ndo hatuna uelewa na ofisi ya mkuu wa mkoa.
Maswali ni mengi majibu hakuna.
Sasa wadau wenye ujuzi tuambieni ofisi ya mkuu wa mkoa inavyanzo gani vya fedha za kuweza kugawa hovyo kiwango hiki.
Ikumbukwe sina ugomvi na wanaozipokea.
Jamaa anamwaga mpunga kama njugu vile!Haha ww hujajua, makonda anamwiga Reginald mengi, hlf mda si mrefu atafulia, sidhan kama anaweza i-maintain hiyo lifestyle kila mwaka Ngushi
😂😂😂😂😂😂😂Manula anafutulu!!