Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
mwambieni zelenk ataje kikosi chake kipn bakhmut sehemu gani,Tafuta habari ya kusisimua na ulete hapa tuchangie sio propaganda na ufurukutwa wa kiputini putini
View attachment 2630527
Kama sikosei hata wakati Mariopol city inaangukia mikononi mwa vikosi vya Russia alikanusha! Lakini akaja kukubali.Tafuta habari ya kusisimua na ulete hapa tuchangie sio propaganda na ufurukutwa wa kiputini putini
View attachment 2630527
Uliko mzoga wa maembe ndipo tai wakutanikapo ...atakuwa aliko maembe bin niguse ninuke...sasa ananuka kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.
Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.
Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!
Sisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.
Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.
Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!oe
Subiri ila siombei, na ww uvamiwe kwako, Kwako!!![emoji378][emoji380]na vibaka kumi ndani na kumi nje! Halafu wainajisi maskani yako, Kisha mashabiki washangilie Kwa Sana Kuvamiwa na kunajisiwa wako!Kama sikosei hata wakati Mariopol city inaangukia mikononi mwa vikosi vya Russia alikanusha! Lakini akaja kukubali.
Kwa hiyo si kitu Cha ajabu kukanusha kama Bakmurt imeangukia mikononi mwa Russia!
[emoji23][emoji23][emoji23]Amekufa
endeleza duwa la kuku kumshusha mwewe ...kutoka anga za juu .....nakushauri acha hayo maombi ....una waste yooo time....Subiri ila siombei, na ww uvamiwe kwako, Kwako!!![emoji378][emoji380]na vibaka kumi ndani na kumi nje! Halafu wainajisi maskani yako, Kisha mashabiki washangilie Kwa Sana Kuvamiwa na kunajisiwa wako!
Halafu uje utupe Mrejesho![emoji56][emoji101]
Mimi Ninasali kila siku Kumuomba Mungu Awake Wepesi Ukraine na Aiaibishe russua Kwa uvamizi wake wa kishamba¡
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Putin yuko wapi maana hajaonekana wiki 2 sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
saa zingine nakuelewaga sana kuna time unakuwa mkweli kuna time unaamua kukurupuka tuuu kama yale mapa triotiki ya supa pawa marekani wa mchongo ....
Wanaoangamia kwa kuingia kichwakichwa huko ndiyo jibu lako.mwambieni zelenk ataje kikosi chake kipn bakhmut sehemu gani,
wapi? Mbona swali rahisi tu au hamjui kusoma swali na kujibuWanaoangamia kwa kuingia kichwakichwa huko ndiyo jibu lako.
Siyo kazi yake
Omba Amani ipatika kati ya Russia na Ukraine! Hayo ndiyo Maombi Mungu anayasikia!Subiri ila siombei, na ww uvamiwe kwako, Kwako!!![emoji378][emoji380]na vibaka kumi ndani na kumi nje! Halafu wainajisi maskani yako, Kisha mashabiki washangilie Kwa Sana Kuvamiwa na kunajisiwa wako!
Halafu uje utupe Mrejesho![emoji56][emoji101]
Mimi Ninasali kila siku Kumuomba Mungu Awake Wepesi Ukraine na Aiaibishe russua Kwa uvamizi wake wa kishamba¡
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
kwa hiyo unataka kusema jana na juzi hujamuona huko yuutyubu akifurahia ushindi wa kuchukuliwa eneo la ukrainePutin yuko wapi maana hajaonekana wiki 2 sasa
Huwezi Ukamzidi Yohana Mbatizaji kwa Maombi!O
Omba Amani ipatika kati ya Russia na Ukraine! Hayo ndiyo Maombi Mungu anayasikia!
endeleza duwa la kuku kumshusha mwewe ...kutoka anga za juu .....nakushauri acha hayo maombi ....una waste yooo time....
duhh kumbe ......ok mkuu naipenda nchi yangu tanzania .....ww sio Mtz ungekuwa Mtz ungekumbuka ima ulikūwa bado unanyonya!
Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi amin alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
Wallahi bilahi watalahi SITASAHAU [emoji56][emoji35]
[emoji116][emoji116]
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita! na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seeking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya Nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao kutusaidia!; amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuuza silaha zake