Mkuu wa majeshi Korea Kaskazini anyongwa kwa tuhuma za ufisadi

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
_88203070_b9d40600-7e2c-41f8-b5e4-4697e2677bba.jpg
Mkuu wa majeshi ya Korea Kaskazini kanyongwa kwa tuhuma uhujumu/ufisadi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Korea ya kusini. Mkuu huyo wa jeshi la Korea Kaskazini hajatajwa kwenye vyombo vya habari vya Korea tangu katikati mwa Januari.

Generali Ri Yong-gil inaripotiwa alinyongwa wiki iliyopita na tukio hilo linatokea wakati dunia ikiinyooshea kidole Korea ya Kaskazini juu ya urushwaji roketi ya masafa marefu Jumapili iliyopita.

North Korea has executed its army chief of staff, Ri Yong Gil, South Korea's Yonhap news agency reported on Wednesday, which, if true, would be the latest in a series of executions, purges and disappearances under its young leader.

The news comes amid heightened tension surrounding isolated North Korea after its Sunday launch of a long-range rocket, which came about a month after it drew international condemnation for conducting its fourth nuclear test.

A source familiar with North Korean affairs also told Reuters that Ri had been executed. The source declined to be identified, given the sensitivity of the matter.

Ri, who was chief of the Korean People's Army (KPA) General Staff, was executed this month for corruption and factional conspiracy, Yonhap and other South Korean media reported.

Yonhap did not identify its sources. The source who told Reuters the news declined to comment on how the information about the execution had been obtained.

South Korea's National Intelligence Service declined to comment and it was not possible to independently verify the report.

The North rarely issues public announcement related to purges or executions of high-level officials.

A rare official confirmation of a high-profile execution came after Jang Song Thaek, leader Kim Jong Un's uncle and the man who was once considered the second most powerful figure in the country, was executed for corruption in 2013.

In May last year, the North executed its defense chief by anti-aircraft gun at a firing range, the South's spy agency said in a report to members of parliament.

The North's military leadership has been in a state of perpetual reshuffle since Kim Jong Un took power after the death of his father in 2011. He has changed his armed forces chief several times since then.

Some other high-ranking officials in the North have been absent from public view for extended periods, fuelling speculation they may have been purged or removed, only to resurface.

SOURCE; Reuters
 
Shirika la habari la Korea Kusini limeripoti kuwa Jenerali Ring, Mkuu wa majeshi wa Korea Kaskazini amenyongwa leo baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia mali nyingi kwa njia za ufisadi!

Source: Dira ya dunia BBC

Hili ni somo kwa viongozi wetu kuwa hakuna aliye juu ya sheria hata akiwa na cheo kikubwa namna gani katika nchi!
 
Haha aisee ndugu yangu si bora huo ukatili wa haki kuliko huu wa kuwapeleka kina Mramba kufanya usafi wakati kibaka wa kuku wanamfunga miaka ya kutosha
Sure..Sema haka kabwana mdogo kamezidi ukali..Watu wanakaogopa sana..Yani ukiwa nako karibu hata kama hauna kosa unakuwa na wasiwasi
 
Back
Top Bottom