Mkuu wa kituo cha polis atapeliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa kituo cha polis atapeliwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mufiyakicheko, Aug 4, 2011.

 1. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa kituo cha polis tunduma mh wendo na mwenyekiti wa mtaa mwaka kati mh A.cheyo wametapeliwa na mtuasie julikana

  Mkuu wa kituo mh wendo alipigiwa sim na tapel akaigiza sauti ya mkuu wa mkoa mbeya na kuagiza amtafutie namba ya mwenyekiti wa mta cheyo wendo alitii amli toka kwa bosi tapeli

  Tapeli alipo pata namba ya cheyo alimuagiza cheyo atafute chumba kizuli kuna mgeni atapita na inatakiwa iwe sili ni mtumishi wa selikali huyo tapeli akatowa namba ya sim nyingine akamwambia cheyo ndo namba ya huyo mgeni na kumuagiza cheyo atume sh raki 1
  Kwa njia ya m pesa

  Cheyo alivo jalibu kumhoji jama akawa mkali cheyo akawa mpore akawa mpore akatuma pesaa alivo jalibu kupiga sim kwa mkuu wa wiraya kama anatalifa akasema hana talifa

  Haya kayasema jana mkuu wa kituo cha polis mh wendo kwenye mkutano na kuwa tahadhalisha watu
  Ameyasema jana 3/Aug/2011
  nawasilisha
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kama sijakupata vizuri vile!!!!
   
 3. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 992
  Likes Received: 1,029
  Trophy Points: 180
  Makubwa!!
   
 4. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ujinga mtupu!
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Imekula kwao!
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  poor TPF
  no general knowledge

  no awareness

  no skills

  no academic qualifications

  fear

  working without job description

  like father like son

  HATARI


  ecademic qualification
   
 7. T

  The Priest JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umeandika ma nini hayo sasa!kajipange upya!ndio yale yale uloandika kuhusu Sitta..
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mbona kama huo ni utapeli wa kijinga,sasa ni mkuu wa mkoa gani anataka atumiwe laki moja?si lazima utashangaa,halafu kumkamata huyo tapeli ni rahisi sana manake namba sasa hivi si zinaandikishwa?kwa hiyo wanaweza kutrace na pia ili kujiunga na m-pesa lazima ujiandikishe.
   
 9. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona jamaa ameeleweka vzr.Kamanda wa Polisi ameingizwa mkenge.Kama ndivyo raia wa kawaida hatuko salama maana Polisi kama anatapeliwa,je sisi tutalindwa na nani?
  <br />
  <br />
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kumbe lugha ye2 ya KISWAHILI ni ngumu sana!! Kuna umuhimu wa kukaguliwa baadhi ya thread humu kabla ya.
   
 11. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ujinga mtupu!
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkuu siyo kumpata, ni kwamba waungwana wamepigwa na mjanja
   
 13. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  hahahahahah...very fooolish and funny even though out of the topics, nwy inanipa fursa ya kusema TZ we have the most unproffesional Police Force from the way they deal with each other, deal with citizens and foreigners, so called investors, political corrects etc, i wish they reform with time very soon.
   
 14. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Cheyo KILAZA ZAIDI DUH!
   
 15. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa kituo cha polis mh wendo na mwenyekiti wa mtaa wa mwaka kati mh cheyo wamezidiwa ujanja nakutapeliwa sh raki 1 na mkuu wa mkoa wa mbeya fek

  Wendo alipigiwa sim natapeli akaigiza sauti ya mkuu wa mkowa na kumuagiza amtumie namba ya sim ya bwana cheyo alijalibu kumuhoji akamufokeya wendo akatii amuli kwa bos fek nakuituma namba

  Cheyo alipigiwa sim na mkuu wa mkowa fek akaagizwa atafute chumba cha kurara wageni akamwambiya kunamgeni wa serikali atapita hapo tunduma na inatakiwa iwe sili naye alijalibu kumuhoji akawa mbogo

  Cheyo aritii amuli yabosi feki tena akamutumia namba ya sim nyingine akamwambiya hiyo ni namba ya huyo mgeni amutumie raki 1 kwenye m pesa alipo tuma namba zote zikaacha kupatikana

  chanzo cha habali ni mkuu wa kituo cha poris kwenye mukutano wa hadhara 3/8/2011
   
 16. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Good one!
   
 17. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Ila kiswahili chako mwanangu. Safi epa ndogo hadi kubwa ndo style yake.
   
 18. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  sasa nani yuko salama?
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mbona unaandika kama una valuu mbili kichwani?, mada ni nzuri, hebu rejea u-edit.
   
 20. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,522
  Likes Received: 12,781
  Trophy Points: 280
  Safi sana si wanawakatiaga polisi cha juu ili wakifanya uhalifu wao waachiwe huru? Ndo wamechukua chao kimtindo!
   
Loading...