Sasa hivi katika nchi yetu kuna uhasama mkubwa sana kati ya raia na Polisi,Mimi mwenyewe kama raia wa Tanzania sina imani na Jeshi letu la Polisi na kwanza siwapendi kabisa Polisi,Hayo yote yamesababishwa na uongozi Dhaifu uliopo madarakani..... Wameruhusiwa akina Mwigulu Nchemba kutukosanisha na Polisi na wamefanikiwa,sasa tumekosana na Polisi,siwahurumii hata kidogo Polisi wa Tanzania acha wapigwe tu...........!