Du! Hatari sana ...Mkuu wa kituo cha polis Wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni Insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko Bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.
Radio one.
BABALAO TUAMBIE NI SHAMBULIO AU BAHATI MBAYA? NA HADI ANAPEGWA RISASI YEYE ALIKUA ANAPAMBANA NAO fungukaMkuu wa kituo cha polis Wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni Insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko Bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.
Radio one.
BABALAO TUAMBIE NI SHAMBULIO AU BAHATI MBAYA? NA HADI ANAPEGWA RISASI YEYE ALIKUA ANAPAMBANA NAO funguka
ITV Tanzania
Breaking News: Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na polisi.
[h=5][/h]
Inakuwaje vyombo vya ulinzi havipeani taarifa mpaka kufikia hatua ya kugongana kiasi hiki.
Inakumbusha yule ocd wa Hai Kmanjaro alivyopgwa mshale na polisi jamii usiku.
Intelijensia iko busy na Chadema, hivi hamuoni mnapoteza muda kushughulikia vitu visivyo na msingi?? si ajabu tutasikia alshabab wako humu humu dsm na hamjui.
babalao sjakuelewa mkuu ni wanajeshi walikuwa wanafanya mazoez ya kijesh au ni watu tu wana miliki hzo slaa na kufanya mazoez ya kijeshiMkuu wa kituo cha polis Wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni Insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko Bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.
Radio one.
kwa kweli hali ni ya hatari sana kwa mujibu wa b/n ya itv vijana hawa wanakaribia kufikia 200 waliotiwa mbaroni mpk sasa ni wanne "4" tu.;angalizo;- polisi na helicopta zao waache kukaa mijini na vyombo hivyo wazunguke ktk mapori mbalimbali tz kwa usalama zaidi wa taifa letu
Amri ya Pinda inafanya kazi...
Sio wanajeshi,ni kikundi cha watu takribani 200 walikuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi...babalao sjakuelewa mkuu ni wanajeshi walikuwa wanafanya mazoez ya kijesh au ni watu tu wana miliki hzo slaa na kufanya mazoez ya kijeshi