Mkuu wa Kaya na mwanae mashallah wamependeza

Jamani mumuache mzee wa watu apumue..sie kwetu faimilia na watoto ni utajiri..
kama nyie wingi wa Vogues na ukubwa na wingi wa viduara kwenye bank statements haya....
ya kwenu hukohuko....
Aaaarghhh jiliwaze baba na ukooo..maisha ndi hayoo...khaaa!!!
 
Kwani kuna tatizo kumsifia mtoto mzuri kama huyo?
 
nilishuhudia Mh Rais akimwita wapige picha, huyu ana hulka ya kuwa mtu wa watu but sometimes.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…