iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Ni wazi hawa watu wanatakiwa kujiuzulu ili kulinda heshima zao kitaaluma. Hata Rais kakiri kwamba wanapokea wanafunzi wasio na vigezo kwa kuwa wanashinikizwa,tukumbuke hawa wanatoa madaktari pia kama sikosei.
Sasa Mkuu wa chuo anamwambia Rais kwamba anaogopa kufukuzwa Kazi hivyo anapokea vilaza!!!
Tukumbuke wanafunzi wote UDOM wanadhalilika na hii itawaathiri hata kwenye ajira, waajiri watakuwa na wasiwasi na wanaweza kuacha kuwaajiri.
Baada ya hapo Ndalichako aondoke.
Akikataa mkubwa wake atabanwa