Hivi karibuni vyombo vya habari vililpoti juu ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT mwanza kuzuiwa kuhitimu na uongozi wa chuo hicho kwasababu ya deni kubwa serikali inalodaiwa.
Baada ya muda wa siku 2 bodi ilikilipa chuo hicho zaidi ya 500milion na hatimaye wakahitim.
Taarifa zilizotufikia sasa ni kwamba wanafunzi wa Chuo kikuu kingine cha kikatoliki Mwenge nje kidogo ya Mji wa Moshi hususani wale wa sayansi hawatahitim/wamezuiwa kuhitimu kwa sababu ya kudaiwa ada ya semester ya mwisho.
Mahafali ya chuo hicho yanatarajiwa kufanyika tar 29/12/2016 huku wanafunzi wanaolipiwa na bodi wakiwa wamepigwa stop, wengi wao wakiwa sayansi.
Mkulu akiwa kwenye maombi ya kura alisisitiza kuwa mikopo haitasumbua vyuo vikuu, ila ukweli ni kinyume chake, mfano Idadi ya wanufaika imeshuka mno.
Pesa ya mazoezi imepigwa panga toka laki 6.2 kwenda laki 4.5 hadi 4.2, kweli huku ndio kusema mikopo hzmaisumbui?
Je ni nin madhara ya watu hawa kuwa mtaani bila cheti huku bosi wa wizara akipeleka kwa hasira marekebisho ya marejesho ya mkopo toka 8% ya zamani hai 15% kwa mwezi? Hivi bosi huyu anawashauri ktk wizara? Iweje bodi ishindwe kuwalipia watu kwq mda halafu makato yanarudishwa kibabe na tishio la penalty juu? Ukiangalia ukokotoaji wa mikopo pale mwanzo ulikuwa wa hovyo mno...Yote haya ni huyu mama mpenda sifa.
Hivi mnataka taifa la watu mbumbumbu kwakuwa hamtaki kukosolewa?
Lipieni hiyo ada watu wapewe vyeti sio kujinasibu na mabadiliko ya kila siku ambayo hayana tija