tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
Mama Anna Mghwira Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro aitembelea familia ya Ndesamburo na kutoa pole kwa wafia kwa kusaini kitabu cha maombolezo alipowasili mkoani hapo kuanzia kazi baada ya kuapishwa.
Katika maongezi yake na wana familia ndipo Mbunge wa viti maalum ambaye ni mtoto wa Marehemu Ndesamburo, Mh Lucy Owenya alipomwambia Mh Anna Mghwira kuwa hata mzee Ndesamburo ktk uhai aliwahi kusema kuwa kuna siku atateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena wa Kilimanjaro.
Maneno ya wazee huwa hayapiti hivi hivi tu bila kutimia mara nyingi.
Chanzo: Tanzania Daima
Sijui hapa Mzee Ndesamburo aliona nini na kwanini aliongea maneno hayo kuhusu Mh Anna Mghwira!