Mkuu mkowa wa DSM anaongea na wa Tz au wajinga?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Mimi nimpenzi wakusikiliza taarifa za habari TBC, ila kila ninapo msikiliza mkuu wa mkoa kauli zake uwa nahisi anafikiri watanzania ni wajinga na wasio na akili. Kwamfano leo ktk taarifa ya habari TBC alikuwa akisema juu yakupanua "huduma za afya kwa kuongeza vitanda na majengo ya wodi za wagonjwa tu". Binafsi huu nauwita upumbavu kama sii ujinga kabisa. Jamani hivi kweli kwa mwenye akili huu sio ule mtindo wakujenga madarasa meng ila walimu,vitendea kazi, namazingira ya ufundishaji haya fai. Hivi kweli watanzania wataendelea mpaka lini kufa kama kuku wa mdondo kwa kukosa uduma bora za afya? Hivi hawa viongoz wanafikiri watanzania hawakwenda shule na wote wanafoji vyeti kama wao? Nihuyuhuyu mkuu wa mkowa aliwahi kunukuliwa akisema wanafunzi wapande kwenye malori ya mchanga kupunguza adha wanaipata wanafunzi ktk usafiri, hivi do we have intelligency unity kuwapima viongoz b4 hawajawa viongozi? Mbona taifa linakosa dira na mwelekeo kwakuwa naviongoz vipofu kama hawa? Mwalimu J. K. Nyerere aliwahi kusema "mtu mwenye akili akikushauri jambo lake la kijinga na wewe ukalikubali basi anakudharau" mwisho wakumnukuu. Taifa hili limekuwa lawajinga nawapumbafu just kwakusikiliza mambo yakipumbavu nakijinga toka kwa wajanja wachache ndani na nje ya nchi. Tumeusaliti utaifa wetu, tumeusaliti na utu wa mtanzania nakwa hakika hakuna atakaye pona. Mungu ibariki Tanzania.
 
Kuna Mwandishi wa habari mkongwe ametushauri turudi kwenye drawing board.....hatuna viongozi na kama nchi, hata ikibidi nje ya system hizi zilizo zoeleka, imefika mahali sasa tuanze kuwafundisha vijana na watoto wetu approach tofauti ya kuongoza. Tuachane na hawa opportunists waliojaa kwenye chain ya uongozi toka chini kabisa mpaka juu.
Kwahiyo Mkuu wa mkoa ni tunda lile lile la uongozi usio na vision uliopo. Hana jipya atakaloleta. Atakuja na shortcut tu ambazo will add no value tu us.
 
Kama wanataka huduma bora ya afya ok wachenge hospitals na pia watoa huduma wapandishiwe senti kwenye mshahara ,na hiyo ndio ilikuwa ajenda kwenye mgomo juzi
 
Back
Top Bottom