Mkuu gani huyu wa JF?

Kafanana na wewe sana aise, nyie ni mapacha?

hapana ni mtoto wa shangazi wa bibi mzaa shemeji wa babu mkubwa ambaye ndo wewe GKM
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji huyo,kama sio yeye basi Mtambuzi enzi zake alipokuja mjini kwa mjomba wake akaenda kupiga disco kijijini kwa harusi hadi kufumaniwa.
 
Last edited by a moderator:
Mie mgeni kwenye haya mambo,hivi ukiniambia hivyo najibuje?

alaah! kumbe uko sealed kwenye haya mambo?

usijali, ntakuwa mgeni rasmi kwenye occassion nzima ya kukukaribisha!!
 
Bujibuji huyo,kama sio yeye basi Mtambuzi enzi zake alipokuja mjini kwa mjomba wake akaenda kupiga disco kijijini kwa harusi hadi kufumaniwa.


:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…