Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,305
- 12,969
Juzi akihutubia akamsimamisha na kumtangaza mama mmoja Profesa kuwa alikuwa anaumwa kansa ya titi na kuwa titi lilikatwa lakini yupo hai.
Hili si jambo jema kwakweli kutangaza magonjwa na siri binafsi za watu hadharani inaumiza. Mambo ya binafsi yaachwe kuwa ya binafsi hata katiba inazuia kuingilia mambo binafsi ya watu na kuyatangaza hadharani