Mkuu ajizuie kutangaza magonjwa na matatizo binafsi ya watu hadharani

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,334
2,000
Juzi akihutubia akamsimamisha na kumtangaza mama mmoja Profesa kuwa alikuwa anaumwa kansa ya titi na kuwa titi lilikatwa lakini yupo hai.

Hili si jambo jema kwakweli kutangaza magonjwa na siri binafsi za watu hadharani inaumiza. Mambo ya binafsi yaachwe kuwa ya binafsi hata katiba inazuia kuingilia mambo binafsi ya watu na kuyatangaza hadharani
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,153

Ukishakuwa baba wa familia halafu majukumu makubwa unayopaswa kufanya umeyakwepa, utabaki kupiga Umbeya tu.

Utaanza kufuatilia nani anatembea na jirani yako, utajua jirani yako anakula dagaa kila siku, utaanza kuingilia ugomvi wa watoto wako wakigombana na watoto wa jirani.

Hana kazi sasa hivi, ndio maana anajitafutia majukumu ya kipuuzi tu kama kuvunja jiji as if hilo ni tatizo la wananchi.

=================
Ameweka Pending,

Matatizo ya ajira, annual increments, nyongeza za Mishahara, mdororo wa uchumi, machinga zig zag, wafanyabiashara, COVID-19 na vifo, elimu bure, madawati, watu kuuawa na kupotea, diplomasia, umeme wa mgao.

Hawezi kujihangaisha na mambo haya.
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
7,217
2,000
... kuna kufikiri baada ya kuongea na kufikiri kabla ya kuongea.
Hana muda wa kufikiria nini aongee yule. Hajui hiki ni cha busara au hiki si cha busara kulingana na mazingira au audience iliyo mbele yake. Naweza kusema ye ni roporopo, whatever comes in his head is qualified to be preceeded by his mouth.
Ndukiii......
 
konyola

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
2,117
2,000
Kuna ile nchi ambayo waziri fulani alikatwa mkono wa sweta kwa sababu ya kuugua ugonjwa flani (haikuwa ridhaa yake) yawezekana ingelikuwa ni huku angekuwa ndo mfano hivi jamaa angejisisikiaje? Yaani eg "Mnamuona huyu waziri fulani hebu simama mheshimiwa, huyu waziri wangu alikatwa VIGO hivi karibuni na wala hajafa na leo yupo hapa asante sana mheshimiwa waziri kaa tu najua na mkewe sasa hivi atakuwa amefurahi"
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
31,739
2,000
Ukishakuwa baba wa familia halafu majukumu makubwa unayopaswa kufanya umeyakwepa, utabaki kupiga Umbeya tu.

Utaanza kufuatilia nani anatembea na jirani yako, utajua jirani yako anakula dagaa kila siku, utaanza kuingilia ugomvi wa watoto wako wakigombana na watoto wa jirani.

Hana kazi sasa hivi, ndio maana anajitafutia majukumu ya kipuuzi tu kama kuvunja jiji as if hilo ni tatizo la wananchi.

=================
Ameweka Pending,

Matatizo ya ajira, annual increments, nyongeza za Mishahara, mdororo wa uchumi, machinga zig zag, wafanyabiashara, COVID-19 na vifo, elimu bure, madawati, watu kuuawa na kupotea, diplomasia, umeme wa mgao.

Hawezi kujihangaisha na mambo haya.
Hahhahaa wewe n yule jamaa anatukanaga kidhungu nawafananisha mno...yaan comments zako ziko kijazba daily..(unahemkwa had raha) mm bado nahemkwa huku uraiani..humu sitaki kabisa kujipa presha i real lov it..mm ningeendelea na kuchukia kila kitu ningezikwa october..ss hv miccm mingi inataabika bas nafurah kinoma!faki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom