Mkutano wa watoto wa maraisi wa ulaya kufanyika tanzania??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kuna tetesi jamani pengine watoto wa maraisi wa europe wanaweza kuja kufanya mkutano wao hapa tanzania....kazi kweli kweli ulaji mwingine huo
 
i found no wrong with that until it is proven otherwise! in meantime i would wonder, if our president children are that political! Then, i understand for a conference to be conducted here! either there is an interest for us or them!
 
Nadhani mtunzi anaonesha kushangazwa iweje mkutano wa wake wa marais wa Afrika ukafanyike Marekani kwanini usifanyike sehemu fulani Afrika. Kama hilo ni la kawaida basi tusishangae watoto wa Marais wa Ulaya waje kufanya mkutano Tanzania!
 
waliienda shopping hao...kwi kwi kwi :)

na hao madogo wa ulaya wanakuja kupumzika...

hii mikutano mbona huwa hatuambiwi mafaniko na tija bora hata ule wa mama mongella wa beijing ulileta mabadiliko ya kifikra
 
Nadhani mtunzi anaonesha kushangazwa iweje mkutano wa wake wa marais wa Afrika ukafanyike Marekani kwanini usifanyike sehemu fulani Afrika. Kama hilo ni la kawaida basi tusishangae watoto wa Marais wa Ulaya waje kufanya mkutano Tanzania!
__________________
THERE YOUR BR!!!INASHANGAZA
 
Back
Top Bottom