Mkutano wa Viongozi wa Ukawa: Hatumtambui Profesa Lipumba kama Mwenyekiti wa CUF

Shule ndiyo nini Tanzania? Lipumba si profesa ? Shule ndivyo anavyofanya kazi? Kitila ni profesa lakini kahama vyama vitatu anapoongea hata profesa maji marefu ana nafuu, wapo waliosoma akina Chenge, werema, Tibaijuka nk hata mwakyembe ana phd lakini alinunua mabehewa feki, shule ndiyo kulala ofisni na mke wa mtu? Wewe lazima utakuwa mme wa sakaya.
"mme wa sakaya" jamani mbavu zangu......
kweli umeniamlia leo. basi umeshinda.
 
Kauli ya Pamoja iliyotolewa na viongozi wote wanaounda Ukawa kwa kauli moja wamesema hawamtambuo Profesa Lupumba kama Mwenyekiti wa Cuf na wala hawatampa ushirikiano wowote hii nikutokana na usaliti aliyoonyesha kipindi cha kumpata mgombea wa Urais. Pia kikao hiki cha leo kimemtambulisha Mwenyekiti mpya wa NLD

Kwani yeye anawatambua hao wasiomtambua
 
Mbona hao ndugu zako wanaonong'ona mtaani hawahoji tangu cuf kuanzishwa hawajahi pata wabunge wengi kama ilivyo mwaka jana?
Au hiyo sio faida kwa cuf.Na ukweli figisu figisu hii inaletwa na ccm kuwarubuni cuf wajione hawanufaiki kwenye umoja huo!
 
kabla ya ukawa cuf walikuwa na wabunge wangapi bara, na leo wanawabunge wangapi?...acheni unafki!
Wabunge wengi sio zawadi ya chadema kwa CUF. CUF lazima walinde uhai wa chama chao, kama unavyoona znz wanalinda nchi yao isimezwe na tz bara.
 
Anaandika Hilda Newton,

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ataongoza jopo la mawakili la UKAWA, kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na Mwanachama wa zamani wa CUF Prof. Ibrahimu Lipumba kwa tuhuma za kukihujumu chama hicho.!

Maoni.
Tulishasema UKAWA haipo kisheria wala kimantiki, hivi ni vioja vingine vya mwaka hivi Tunduuu na CUF wapi na wapi? mtu wa Chadema mambo ya CUF yanamwashia nini, nawaende tu ila watashindwa vibaya sana.
 
Chadema ni watu pekee waliochanganyikiwa na mgogoro huu.
Waacheni wafu wazikane,kifo cha ukawa kimekaribia
 
Uwe unatumia akili Lisu ni mwanasheria kitaaluma, haendi pale kama Mbunge wa CDM au kama mwanasheria wa CDM.
Inaleta ukakasi kidogo dada
Hivi si huyu tundu aliwaita kafu mashoga,chadema wanaingilia mambo yasiowahusu,katiba ya kafu ipo wazi kabisa
 
Aisee nyie watu mnachosha sasa. aliyewaroga na yeye alirogwa akawa kichaa!! Lissu alipomtetea mrema zama zile alikuwa CHADEMA? Lissu ni mwanasheria hata wewe unaweza kumtumia!!
Lissu alikua NCCR na Mrema NCCR
Lissu na kafu wapi na wapi,chadema wanazidi kubomoa upinzani kwa kujifanya kumsaidia sefu,mchukueni basi
 
Inaleta ukakasi kidogo dada
Hivi si huyu tundu aliwaita kafu mashoga,chadema wanaingilia mambo yasiowahusu,katiba ya kafu ipo wazi kabisa
Tulieni sindano iwaingie vizuri! Naona mnamhofia sana Tundu Lisu kwenye ulingo wa sheria! Huyo ni mwanasheria wa kujitegemea hivyo chama chochote wakitaka wanaweza kumtumia! Hafanyi kazi hiyo kama mwanasheria wa CDM bali kama mwanasheria wa kujitegemea!
 
Hata ukilia mahakamani wataenda tuu mkuu

Back
Top Bottom