Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 813
Mkutano wa Ukawa manispaa ya mtwara mabomu yamepigwa kutokana na vurugu zilizoibuka katika katika mkutano huo, chanzo cha vurugu hizo ni kugombeana jimbo kati ya wagombea wa ubunge kwa kiti cha CUF na NCCR hali iliyosababisha mkutano huo kuvurugika na kuingiwa na sinto fahamu.
Mgombea mmoja kupitia NCCR anashikiliwa na police mpaka sasa kutokana na kuanzisha vurugu hizo.
Mkutano huo uliudhuliwa na viongozi wa mkoa na wilaya ya Mtwara huku wakifanya maandalizi ya kumpokea mgombea kiti cha uraisi Mh Lowasa na ukiudhuliwa na wasaniii mbalimbali kama Vincent Kigosi (Ray) na wengine wengi.