baraka moze
Member
- Apr 21, 2012
- 99
- 3
Ni katika viwanja vya lumumba zenji
Wanatakiwa kuchapwa hawa badala ya kukaa na kujadili kwanini shule za kiislamu zinaburuza mkia wanakaa na kujadili mambo yasiyokuwa na msingi!
Ninyi machogo tu! kajengeni makanisa mikumi muiite zanzibar! mtuachie nchi yetu!
Serious?Kila la kheri. kuweni makini kuna watu watakuwa wameandaliwa na ccmcuf kuchoma makanisa (mungu aiepushe mbali) ili ionekane JUMIKI ndio wanachoma makanisa
Mkuu ni kweli uko serious kwamba suala la muungano siyo la msingi au unatania??!!Wanatakiwa kuchapwa hawa badala ya kukaa na kujadili kwanini shule za kiislamu zinaburuza mkia wanakaa na kujadili mambo yasiyokuwa na msingi!