Jamani huwezi kuamini, data nilizopata zinatisha, CCM mbeya imemuunga mkono Dr. Slaa, na hivi sasa CCM mkoa wa Mbeya wako mkutanoni kwa Dr. Slaa na viwanja vyenyewe ni mahala panaitwa CCM Ilomba. Barabara ya kutoka Dar kwenda Mbeya imefungwa eneo hilo kutokana na umati wa watu kwa zaidi ya masaa mawili.
Sasa hivi abiria wanaotoka Iringa na Dar kwa furaha kabisa wameamua washuke ili wakamsikilize mwanamapinduzi wa kweli Dr. Slaa